Mcheza Tenisi wa Uingereza, Andy Murray amefanikiwa kutinga robo fainali ya BOSS Open mjini Stuttgart baada ya kumfunga muaustralia Christopher O’Connell.

Murray, 35 ameshinda michezo miwili mfululizo siku ya Jumanne na Alhamisi na kutinga katika robo fainali ya michuano hiyo ambapo alishinda dhidi ya O’Connell kwa seti 6-4 6-3.

 

Murray, Andy Murray Atinga Robo Fainali BOSS Open, Stuttgart., Meridianbet

Muingereza huyo atakutana na Tsitsipas aliye bora katika hatua ya nane bora baada ya mchezaji huyo wa Ugiriki kushinda kwa seti 6-3 7-6 (7-4) dhidi ya Alexander Bublik.

Murray pia ameratibiwa kucheza hafla ya Queen’s Club wiki ijayo, mashindano ambayo hapo awali ameshinda mara tano (2009, 2011, 2013, 2015, 2016) kabla ya michuano ya Wimbledon kuanza Juni 27.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa