Ansu Fati Mchezaji Bora Mwezi September.


Kinda wa FC Bacrelona, Ansu Fati mwenye umri wa miaka 17 amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa La Liga kwa mwezi Septemba.

Mchezaji huyo ambae ameonekana moto wa kuotea mbali tangu Ligi kuu nchini Hispania- La liga ianze maefanikiwa Kufunga Magoli 3 katika michezo mitatu aliyocheza huku akitoa pasi moja ya goli.

 

Ansu Fati Mchezaji Bora Mwezi September.

Ansu fati amepata nafasi ya kuanza katika kikosi cha Barcelona baada ya wachezaji kadhaa kuondoka akiwemo Luis Suarez aliyejiunga na wapinzani wao Atletico Madrid.

Barcelona wameshinda michezo miwili na kutoka sare mmoja katika michezo yao mitatu msimu huu, huku wakifanikiwa kufunga magoli saba na kufungwa goli moja.

 

Ansu Fati Mchezaji Bora Mwezi September.

Ansu fati kwasasa amejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Hispania kwa mara ya kwanza, kinachocheza michezo ya kufuzu katika kipute cha Ligi ya Mataifa.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

 

35 Komentara

    Hongera zakee

    Jibu

    Tunasubiri kwa hamu

    Jibu

    Ansu Fati akiendelea kuwa katika ubora aliokuwanao hivi sasa basi atakuwa mchezaji tishio sana Duniani

    Jibu

    Kinda Ansu fatii kumbe yuko vizurii.

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Ansu ni moto wa kuotea mbali Barcelona wakimtumia vizuri wanaweza kuludi kwenye hadhi yao

    Jibu

    Hongera sana Ansu

    Jibu

    Kazi nzurii

    Jibu

    Hongera sanaaaa

    Jibu

    Ansu pamban vya kutosha maana naona nyota imewaka

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Ansu anajua mpira

    Jibu

    Ni mwanzo mzur kwa fati

    Jibu

    Ansu kijana mdogo lakini hana mafanikio makubwa na kama akiendelea na moto huo huo alio kua nao hatakua tishio katika wachezaji wote duniani nzima

    Jibu

    Ansu yuko vizuri sana.

    Jibu

    Kwa kweli anastahili kulingana na juhudi zake za uwanjani

    Jibu

    Tunasubiri Kwa hamu

    Jibu

    Congrats kwake

    Jibu

    Amekua kwenye kiwango bora

    Jibu

    kazi nzuri

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    kazi nzuri

    Jibu

    Namuon mbar San uyu dogo badae

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Yuko vizuri

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera zake.

    Jibu

    Hongera Sana

    Jibu

    safi sana ansu fati unastahili sana

    Jibu

    Kazi nzuri

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    mwanzo mzur kwa fati

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.