Arsenal Kubeba Uefa Siku Za Usoni?

Ndio, pengine ni jambo la kushangaza au kufikirisha lakini hakuna kinachoshindikana kwenye soka. Arsenal wanamalengo ya kutwaa taji la Uefa kwa siku za usoni.

The Gunners hawajacheza mashindano ya Ligi ya Mabingwa toka 2017 lakini wamekua wakishiriki mashindano ya Europa kwa misimu kadhaa. Msimu huu, Arsenal haishiriki mashindano yeyote ya Ulaya baada ya kumaliza katika nafasi ya 8 kwenye EPL msimu uliopita.

Kushindwa kushiriki mashindano ya Ulaya msimu huu, hakumfanyi Martin Odegaard kutoiwazia mema Arsenal. Odegaard ameiambia SkySports;

Ninadhani kwa msimu huu, tunataka kurejea kwenye mashindano ya Ulaya. Hili litakua ni jambo la muhimu kwetu (wachezaji), klabu na mashabiki.

Kadiri muda unavyokwenda, tutashinda mataji – Ligi ya mabingwa na EPL ndani ya miaka michache ijayo.

The Gunners wanashika nafasi ya 20 kwenye EPL mpaka sasa na wataingia uwanjani kuchuana na Norwich (19) wikiendi hii.


USHINDI KIGANJANI KWAKO!

Meridianbet inakuletea ushindi kwenye kiganjani kwako, unafurahia radha halisi ya burudani ya kasino mtandaoni na tabasamu la ushindi.

Meridianbet Online Casino

 INGIA MCHEZONI HAPA

Acha ujumbe