Klabu ya Arsenal imekuwa ikihusishwa na aliyekuwa nyota wa zamani wa Tottenham, Christian Ericksen. Nyota huyu amekuwa na wakati mgumu kupata namba ya kudumu kwenye kikosi cha Inter Milan tangu alipoungana na Spurs Januari.
Eriksen ameanza katika gemu 11 za Serie A akiwa chini ya Antonio Conte, ambao wanaonekana kuwa tayari kumuachia aondoke kwenye dirisha lijalo la Uhamisho.
Kwa mujibu wa chanzo kimoja cha habari za michezo za Italia Corriere dello Sport, Conte anafikiria dili la mabadilishano kati ya nyota wa Arsenal Granit Xhaka na Ericksen.
Nyota huyu wa Arsenal amekuwa akianza mara kwa mara kwenye kikosi cha Mikel Arteta, lakini kwa anakumbana na ushindani mkubwa sana kutoka kwa Thomas Partey, aliyesajiliwa msimu wa joto kwa Euro 45, pamoja na Dani Ceballos na Mohamed Elneny.
Mapema mwezi huu Ericksen aliweka wazi kuwa hafurahii mda wake wa kucheza na kinachotokea siyo ndoto aliyokuwa nayo alipokuwa akifikiria kutua Milan.

“Hiki sio ndoto niliyokuwa naiota. Nadhani wachezaji wote wa soka wanapenda kucheza mara nyingi iwezekanavyo. Haijawahi kufurahisha kukaa benchi” – Ericksen
Kutokana na hali inavyoendelea, lolote linaweza kutokea na huenda staa huyu akafanikiwa kutua Arsenal.
Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.
Povel
Duh sell. Exchange Man to Man (ERIckson + Xhaka ) duh hapo ni kukubaliana Kati ya gunner na milan Ila for me naona Kama deal hlo litafikiah muafaka gunner watakuwah wamepata mtu sahihi katika team kwn ERIckson ni mpambani anayewez kuku offer nafasi mbali mbali kwny timu na timu ya gunner inahitaj mtu Kama erikson fundi wa mpira kila la kheri Kama deal hlo litakuwa Done
Sadick
Bado shaka amekuwa hana mchango mkubwa sana pale timu inapozidiwa, ni mchezaji wa kawaida. Thomas Partey amesajiriwa hivi karibuni lakini amekuwa na mchango mkubwa sana
zeiyana
hitakua vizuri kama arsenal watainasa sain yake
aisha
Yuko vizuri kijana anaonekana
Theonestina
Habari njema
Sabrina
Sio mbaya wakifikia makubaliano
Hopemwaikuka
Whatever
felister
kijana anaonekana yupo vizuri
magdalena
hapo katika makubaliano wanabidi na kuwashirikisha wachezaji wenyewe
Fatina mfingi
Kikumbwa makubali tu
Ester jackson
Wafanye tu makubaliano yao mazuri mana wachezaji wote wanaumuhimu wao
Angelina
Goodupdate
Sauda
Wakubaliane wamchukue dogo anafaa sana
Samira
Shaka ni kweli bado hana msaada mkubwa
Lydia Emmanuel Magoti
Yupo vizuri kijana wafanye tuu makubaliano wachezaji wote wapokwenye levo
Caroline
Granit ongeza juhudi
Rahma
Habali nzuli
Sania
Kijana yupo vizur
Saupha mohamed
Good news
Fatuma kasomo
Anaonekana yupo vizuri
David Pere
ni kukubaliana Kati ya gunner na milan Ila for me naona Kama deal hlo litafikiah muafaka gunner watakuwah wamepata mtu sahihi katika team kwn ERIckson ni mpambani anayewez kuku offer nafasi mbali mbali kwny timu na timu ya gunner inahitaj mtu Kama erikson fundi wa mpira kila la kheri Kama deal hlo litakuwa Done
Issa
Kwa ericksen watalamba galasa
Ernest
Nafurahi kuona falsafa ya Arteta amegundua kuwa Christian Eriksen anaweza kuwa msaada mkubwa ndani ya Arsenal na great Captain
Rehema
Habari njema