Arsenal na Wolves Kukutana Tena Leo Ligi Kuu ya Uingereza

Arsenal wanakabiliana na Wolves kwenye kipute kingine cha Ligi Kuu England Jumamosi hii, wakiangalia kuendeleza fomu yao ya kushinda kwa wiki za hivi karibuni. Mbwa mwitu Wolves wamekuwa pia na fomu bora kabisa tangu ligi irudi. Wameshinda mechi zote tatu, wakifunga mabao manne na pasipo kuruhusu goli hata moja.

Kitu kimoja kibaya ni kwamba Wolves walikuwa wanakabiliana na timu dhaifu, timu zinashika nafasi ya; 16, 19 na 18. Bado, Arsenal hawawezi kujipa matumaini juu ya hilo wakati wamepoteza mbele ya timu hiko kwenye hatihati ya kushuka Brighton wiki chache zilizopita na wakapoteza.

Mechi hii yoyote anaweza kushinda kama kawaida, japo nafasi kubwa inambeba Wolves kwani hawajapoteza tangu ligi irejee. Tangu wapoteze dhidi ya Brighton, Arsenal wapo kwenye fomu nzuri. Walishinda ugenini dhidi ya Southampton, waliiondosha Sheffield United Kombe la FA kwenye hatua ya robo fainali na kufurahia ushindi mnono dhidi ya Norwich City nyumbani.


Kwa hivyo leo kuna timu mbili zilizopo katika fomu nzuri na zikiwa na pengo la pointi sita kati yao kwenye msimamo (Wolves katika nafasi ya sita, Arsenal ya nane).

43 Komentara

    Wolves anashinda hii mechi

    Jibu

    Mechi ngumu sana

    Jibu

    Leo ni game ngumu kwa arsenal kushinda mbele ya maalim seif

    Jibu

    Mechi ngumu sana iyo

    Jibu

    Wamebahatsha leo lakini bado wapo mbali Sana kuingia kwenye nne bora

    Jibu

    Leo arsenal atashinda tu

    Jibu

    Patachimbika#meridianbettz

    Jibu

    Sasa nimeanza kuona Arsenal ikifanya maajabu ambayo watu hatukutarajia, Wolves kupigwa 2 kwa nunge ngumu sana, Pongezi kwa Arsenal.

    Jibu

    Bonge la game,sidhani kama Arteta atafurukuta na leo

    Jibu

    Wolves lazima ampige arsenal

    Jibu

    Mpambano ulikuwa babu kubwa #meridianbett

    Jibu

    Game ilikuwa kali

    Jibu

    Arsenal lazima atashinda tu

    Jibu

    Arsenal lazma ashinde na mbili.

    Jibu

    Wolves lazima atashinda tu

    Jibu

    Mechi ngumu sana#meridianbettz

    Jibu

    Kwa mchezo wa jana ulikuwa mkubwa sana kwa arsenal kwa kuibuka na magoli 2:0 ulikuwa hatari

    Jibu

    Arsenal mkali wao

    Jibu

    Arsenal lazima atashinda

    Jibu

    Arsenal wamesikiliza vilio vya mashabiki wao wamejipanga hipasavyo hawataki kuwapoteza mashabiki wao kwa mchezo ulio chezwa jana na kuibuka ushindi wa 2:0 imewafanya kuwaondoa machozi mashabiki wao na kuwaamisha bado wanagombani nafasi yao

    Jibu

    Hii mechi yeyote anaweza kushinda

    Jibu

    Arsenal ushindi ni lazima

    Jibu

    Mechi ngumu sana

    Jibu

    mm nilijua tu arsenal atashinda hii mechi

    Jibu

    Lilikuwa kabumbu latari Sana Arsenal walijitoa kimasomaso mpaka kupata ushindi

    Jibu

    Kwa hawa wolves sidhani Kama arsenal Ana nafasi ya kuchomoka

    Jibu

    Mechi ngumu

    Jibu

    Lilikuwa bonge la gemu hatari

    Jibu

    Maoni:Duuuh hii mechi ni ngumu sana

    Jibu

    Hatimaye The Gunners wamefanya yao kwa kuwatungua mbwa mwitu#meridianbettz

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Kitawak san

    Jibu

    Ngoja tuone nani atashinda.

    Jibu

    Nani atashinda ngoja tuone

    Jibu

    dah eti aseno kupata point 3

    Jibu

    Daaaa Mechi Niliikosa Hiii #Meridianbettz

    Jibu

    Hii mech ilikuwa ngumu

    Jibu

    Kaz ipo

    Jibu

    Hatimaye arsenal nao wamekaza

    Jibu

    Hii mechi nilijua tu arsenal lzma washinde

    Jibu

    well

    Jibu

Acha ujumbe