Bado hali si shwari kwa washika mitutu wa London – Arsenal ‘The Gunners’. EPL wanavurunda na wametolewa kwenye Carabao Cup.
Mikel Arteta kulikoni???

Wakati ambapo Arsenal wameambulia pointi 2 pekee ndani ya michezo 7 ya mwisho, timu hii ipo kwenye hatihati ya kuingia kwenye nafasi 3 za kushuka daraja kwenye EPL.
Arsenal ya msimu huu sio tuliyoizoea ikiwa inapambana kwenye nafasi 6 za juu kwenye msimamo wa EPL. Ni dhahiri kwa kiasi kikubwa, mashabiki wa timu hii hawaoni tumaini jipya kwa sasa.
Japo hatuombei kuiona timu kama hii ikishuka daraja, tukumbushane kuwa baadhi ya wachezaji wa kikosi cha Arteta wapo mashakani kuuonja uchungu wa kupunguziwa mishahara yao kwa 25% endapo timu hiyo itashuka daraja.
Ni suala ambalo halifikiriki kwa sasa kama miamba hii ya soka la Uingereza itashuka daraja au la, lakini kwa mwenendo huu – pengine ulimwengu wa soka unaweza kushuhudia maajabu hayo msimu huu.

Aubameyang na Ozil ni miongoni mwa wachezaji wanaopokea kitita kirefu kwenye kikosi hicho na Uingereza kwa ujumla, endapo itatokea timu hiyo imeshuka daraja na wakatekeleza makubaliano ya kupunguza 25% kwenye mishahara ya wachezaji.
Arsenal wataokoa takribani pauni milioni 37.5 kutoka kwenye kiasi cha pauni milion 150 wanacholipa mishahara ya wachezaji kila mwaka.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???
Adelta
Hii ni taarifa mbaya kwa kikosi Cha Arsenal
Caroline
Pole Sana kwa matokeo mabovu
Angelina
Pole yake
Sarah
Matokeo sio poa pole yao
Magdalena
Arteta anazingua
Rahmal
Dar pole sana
Issa
Arteta aimarishe kikos
Hopemwaikuka
Too bad
Saupha mohamed
Pole sana
Tatu
Arteta ajipange
Mwanahamisi
Pole sana
Lydia Emmanuel Magoti
Pole sana
warda
Acha waonje joto ya jiwe
Shakila mrope
Mhh pole yake
Ernest Kimeru
Arsenal imepoteza mvuto ghafla, Mwanzoni walionekana kama timu itakayoleta ushindani mkunwa ndani ya EPL na barani Ulaya lakani hali ilivyosasa inasikitisha