Arsenal Ugenini Leo Dhidi ya Luton Town

Ligi kuu ya Uingereza, EPL inatarajiwa kuendelea hii leo ambapo vinara wa ligi hiyo Arsenal baada ya kushinda mchezo wao uliopita, leo hii watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Luton Town.

 

Arsenal Ugenini Leo Dhidi ya Luton Town

Baada ya kukosa Taji la ligi kuu msimu uliopita sasa vijana hao wa Mikel Arteta wanafanya kila jitihada kuhakikisha wanakusanya pointi nyingi zaidi ili mpaka kufikia mwisho wa msimu wawe na alama nyingi zaidi za kubeba ubingwa.

Pia kumbuka kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Arsenal hadi sasa wamekusanya pointi zao 33 baada ya kucheza michezo yao 14 wakishinda mechi 10, sare 3 na kupoteza mchezo mmoja pekee hadi sasa kwenye msimamo wa ligi.

Arsenal Ugenini Leo Dhidi ya Luton Town

 

Wakati Luton Town wao ambao wamepanda daraja msimu huu wapo nafasi ya 17 wakiwa na pointi zao 9 pekee, wakishinda mechi 2, sare 3, na kupoteza mara 9 hadi sasa.

Tofauti ya pointi kati yao ni 24 hadi sasa, je Luton Town anaweza kumzuia Arteta kuchukua pointi tatu muhimu? Bashiri mechi hii na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000.

Acha ujumbe