Arsenal Waanza na Joan Jordan

Imeelezwa kuwa mabosi wa Klabu ya Arsenal wanahitaji saini ya nyota wa Klabu ya Sevilla, Joan Jordan ili kuongeza nguvu ndani ya kikosi hicho.

Jicho la Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta linatajwa kuitazama kwa ukaribu saini ya nyota huyo mwenye miaka 26 raia wa Hispania.

Ushindi wao wa mabao 3-1 dhidi ya Chelsea kwenye London Dabi walioupata Desemba 26 umemfanya Arteta afikirie kuongeza nguvu eneo la kiungo ili kupata ushindi zaidi kwenye mechi zake.

Arteta ana matumaini kwamba akipata saini ya nyota huyo ataongeza nguvu ya kujiamini kwa kikosi chake kwa kuwa ana uwezo pia wa kufunga kwa kuwa ndani ya La Liga akiwa amecheza jumla ya mechi 41 amefunga mabao mawili.

Arsenal ipo tayari kuweka dau la pauni milioni 32 ili kumpata nyota huyo ambaye amewahi kucheza pia ndani ya Klabu ya Eibar msimu wa 2017-19 na alicheza jumla ya mechi 71 na kufunga mabao 10.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

16 Komentara

    Arsenal saf kumchukua

    Jibu

    Safi sana arsenali

    Jibu

    Namkubali sana joan

    Jibu

    Arsenal wamepata jembe

    Jibu

    Jamaa anajua sana

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Dah safi sana

    Jibu

    Arsenal wanaweza

    Jibu

    Jambo zuri arsenal

    Jibu

    Safi sana arsenal

    Jibu

    Kijana makin kabsa

    Jibu

    Yuko vizur

    Jibu

    Yuko vizur

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

Acha ujumbe