Arsenal Waingia Dakika za Mwisho kwa Partey.


Kwa mujibu wa Sky Sports, Arsenal imewasiliana na wawakilishi wa Thomas Partey juu ya kutaka kulipa kifungu cha uhamisho wa kiungo huyo wa kimataifa wa Ghana.

Kifungu cha uhamisho wa Partey kinasimama kwa dau la Euro Milioni 50 na endapo Arsenal italipa kifungu hicho basi hakutakuwa na haja ya kufanya mawasiliano na Atletico Madrid kukamilisha uhamisho huo.

 

Arsenal Waingia Dakika za Mwisho kwa Partey.

Arsenal inaripotiwa kufanya mipango yote kwa haraka zaidi ili kushinikiza uhamisho huo hii leo, huku vipimo vya Afya vikitarajiwa kufanyika nchini Uhispania.

Lakini Taarifa nyingine zinasema Chelsea wameingia kwenye dili la kutaka kumchukua kiungo huyo baada ya kugonga mwamba kwa kiungo wa Westham Declan Rice.

 

Arsenal Waingia Dakika za Mwisho kwa Partey.

Gunners na Blues zitajaribu kukamilisha dili hilo kabla ya saa 00:01 usiku ambapo dirisha litafungwa.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

 

32 Komentara

    hongera zao

    Jibu

    Gunners rada kwa huyu mtu ni safi ila arteta anajua kazi ya partey

    Jibu

    Bravo the gunners usajiri makini sana#meridianbettz

    Jibu

    Arsenal bado wanaziba mapengo kweny kikos chao

    Jibu

    Arsenal wanajua kulenga wanataka kutengeneza kikosi cha kibabe

    Jibu

    Arsenal kikosi chao bado hakipo sawa

    Jibu

    Kila LA heri kwao

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    Closed Window DEAl swap😂😂😂😂

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Safi sajili Bora kabisa

    Jibu

    Kila la kheri Arsenal

    Jibu

    Wametisha sanaa

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Arsenal anafanya usajili mzuri sana dogo atawasaidia sana

    Jibu

    Safii kila la kheri kwake

    Jibu

    Daaaah kazi wanayo

    Jibu

    Usajili mzuri

    Jibu

    Arsenal walitisha sana

    Jibu

    Kila kheri

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Habari njema sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Gud

    Jibu

    usajili mzuri

    Jibu

    hongera zao

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Arsenal wanajua kulenga

    Jibu

Acha ujumbe