Arsenal Walivyocheza Rafu Kunasa Saini ya Partey

Klabu ya Atletico Madrid imeripotiwa kuwa kwa siku za karibuni, haina mpango wa kufanya biashara tena na Arsenal kutokana na kilichotokea kwenye usajili wa Thomas Partey.

Partey amesajiliwa na Arsenal siku ya mwisho kabla ya usajili haujafungwa Jumatatu ya wiki hii ambapo uhamisho wake umegharimu pauni 45m.

Atletico wanadai kwamba, kitendo cha Arsenal kuchelewa kufanya mazungumzo na klabu hiyo huku ikizungumza zaidi na mchezaji kwa kumshawishi na mwisho wa siku kumsajili, ndiyo kimewaudhi kwa sababu imeshindwa kupata muda wa kumtafuta mbadala wake.

Ripoti kutoka Hispania zinadai kuwa, ombi la Arsenal kumuhitaji kiungo huyo lilifika dakika 32 kabla ya usajili kufungwa.

Jambo hilo liliwapa wakati mgumu mabosi wa Atletico kuweza kumpata mbadala wake kwa muda huo ambao ulikuwa umekwenda.

Partey akiwa Arsenal, atakuwa analipwa mshahara wa pauni 250,000 kwa wiki, huku mkataba wake ukiwa ni wa miaka minne.


Weka Pesa kwa Airtel Money!

Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!

Soma Zaidi

34 Komentara

    Kumbe mambo hayo yapo hadi nchi za wenzetu tumeona uku kwetu simba kwa Morison

    Jibu

    Altetico wanazingua wasinge kubali na kuchukua pesa

    Jibu

    Dah wamechez rafu mbaya arsenal

    Jibu

    Arsenal waliuwa wanasuasua kama wamchukue au wamuache

    Jibu

    Good

    Jibu

    Arsenal walikuwa hawana uhakika na wanachokifanya

    Jibu

    Duu rafu sio poa

    Jibu

    good news

    Jibu

    arteta naona anataka kunoa kikosi chake vyema sana

    Jibu

    duuh

    Jibu

    Moja ya usajiri bora kufanywa na Arsenal siku za karibuni, kila la kheri Partey

    Jibu

    Atletico wamekosa point ingebid wasichukue fedha

    Jibu

    PARTEY is gunner

    Jibu

    Itapendeza sana kumsain mwamba

    Jibu

    Atletico ndio wapambane

    Jibu

    Duh sio poa

    Jibu

    Duuu siyo poa

    Jibu

    Rafu mbaya sana

    Jibu

    Habari imeeleweka

    Jibu

    Duuh rafu mbaya sana wamecheza

    Jibu

    Sio poa kabisa

    Jibu

    Arsenal hawajawai kukosea kwenye usajil wao nawakubali sana 👍

    Jibu

    Hapa kweli Arsenal wamecheza Rafu kazi kubwa ipo kwa Atletico Madrid kujipanga

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Mmmh

    Jibu

    Arsenal wajanjaaa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Arsenal hapo nimewakubali sana

    Jibu

    Hatarii iyoo

    Jibu

    duh

    Jibu

    Dah wamechez rafu mbaya arsenal

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.