Arsenal Yarejea Kileleni Epl

Klabu ya soka ya Arsenal imerejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kupata matokeo ya ushindi katika mchezo dhidi ya klabu ya Aston Villa mchezo uliopigwa katika dimba la Villa Park.

Klabu ya Arsenal wamefanikiwa kuifunga Aston Villa kwa mabao manne kwa mawili na kufanikiw akurudi kwenye njia ya ushindi baada ya kukosa ushindi katika michezo mitatu ya ligi kuu ya Uingereza, Lakini leo wameweza kupata ushindi tena.arsenalWashika mitutu walianza kutanguliwa na wenjeji baada ya kufungwa goli la mapema na wenyeji klabu ya Aston Villa kupitia kwa Olie Watkins kabla ya Bukayo Saka kusawazisha bao hilo, Lakini kabla ya mapumziko Aston Villa walipata bao la pili kupitia kwa Philipe Countinho na kwenda mapumziko wakiongoza kwa mabao mawili kwa moja.

Klabu ya Arsenal walirejea kipindi cha pili wakiwa na ari huku wakitafuta namna ya kuweza kusawazisha bao dakika ya 61 Olekasandre Zinchenko alifanikiwa kufunga bao la kusawazisha na ubao kusomeka mabao mawili kwa mawili, Mchezo uliendelea hivo mpaka pale washika mitutu walipofanikiw kuongeza mabao mawili katika dakika 6 za nyongeza na kupitia kwa Jorginho na Gabriel Martinelli.arsenalKlabu ya Arsenal walifanikiwa kushinda kwa mabao manne kwa moja sasa imefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kufanikiwa kufikisha alama 54, Huku klabu ya Manchester City wakiwabkiwa na alama 51 lakini bado wana mchezo mkononi.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.