Arteta Atamani Luiz Abaki

Mikel Arteta amesema anatamani kumbakiza David Luiz, Arsenal na anaamini Mbrazilli huyo amekuwa mfano wakuigwa tangu alipotua Arsenal kuchukua mikoba ya Unai Emery kama kocha.

Mwezi uliopita, ilithibitishwa kuwa Luiz alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Arsenal baada ya kusajiliwa kutoka Chelsea majira ya Kiangazi yaliyopita.

Arsenal tayari walianza mazungumzo ya kuongeza mkataba na Mbrazili huyo kwa miezi 12 minginen japo makubaliano hayajafikiwa.

Japo, Luiz ameonyesha nia ya kurejea Bnefica na kukiri kuwa tayari amezungumza na raisi wa klabu hiyo ya Ureno.

Lakini Arteta yupo tayari kumbakiza nyota huyo mwenye miaka 33 kwani amekuwa na ushawishi mzuri kwa wachezaji wenzake. Mikel Arteta amemsifia David Luiz kwa kuwa ushawishi kwa wachezaji wa Arsenal.

Nina furaha na Luzi, nahitaji kusalia nae,’ alisema Arteta. ‘Amekuwa mfano wa kuigwa tangu nilipojiunga na Arsenal. ‘Napenda namna anavyocheza uwanjani, napenda ushawishi wake kwa wachezaji wenzake, napenda abaki nasi.’

40 Komentara

    David Ruiz ni beki makini Sana ila kwa Sasa kiwango chake Kiko chini ila kwa arsenal waangalie uhitaji wa beki Kama aina yake Kama Ina wafaa itakua poa

    Jibu

    Luiz mchezaj mzur anastahil kubaki gunner thnks meridian bet kwa update za michezo

    Jibu

    Mchezaji mzuri awapo uwanjan

    Jibu

    Ni tamaa kwa coach kwaajili ya kuwapa motisha na kushare experience kwa vijana wanaochipukia wenye kucheza nafasi yake

    Jibu

    Jamni muacheni luiz aende timu nyingine kiwango chake kinazidi kushuka sikama alivyotoka Chelsea sasa aende timu kubwa zaidi

    Jibu

    Abaki tu mambo yanaweza kubadilika kwa arsenal

    Jibu

    Ni bora akabaki

    Jibu

    Bora abaki tu sasa hivi timu nyingi azina pesa kwaiyo nimajanga tu

    Jibu

    Ninamkubali sana#meridianbett

    Jibu

    Nibora abaki kwani timu nyingi zimeyumba kipindi hiki cha corona

    Jibu

    alichofanya leo kwa city 😂😂😂😂😂

    Jibu

    Ni vyema akabaki tuu

    Jibu

    gud newz asante

    Jibu

    Ni vizuri akibaki

    Jibu

    David Luiz ni kinara wa kipekee arsenal

    Jibu

    Ni bora akabaki tuu

    Jibu

    Ni bora akabakia hapo arsenal

    Jibu

    Luiz ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Anazingua sana luis

    Jibu

    Luis beki mzoefu anastahili kubaki arsenal#meridianbettz

    Jibu

    Bora abaki tu

    Jibu

    Arteta Yuko sahihi Ruiz amalizie career yake arsenal hapo hapo

    Jibu

    Wamuongezee mkataba.Luiz ana mchango mkubwa kwenye timu ya Arsenal

    Jibu

    Maoni:Arteta ameuona mchango wa David luiz bado anamuhitaji katka team yake

    Jibu

    Ni vema akabaki tu

    Jibu

    Talent player

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Maoni:Nivema abaki tu

    Jibu

    Abadilishe upepo tu maan itamsaidia kukuza kiwango Zaid.

    Jibu

    Ni mchezaji mzuri akiwa uwanjani

    Jibu

    Kweli Arsenal wamechoka Sana beki Kama yule bado wanatamani wabaki nae hatari tupu

    Jibu

    Mchezaji mzuri habaki tuu

    Jibu

    Luiz anachomesha sana timu

    Jibu

    Ni mchezaj mzur

    Jibu

    Anazingua huyo

    Jibu

    Ni Bora abaki tu

    Jibu

    aende zake tu

    Jibu

    Daaah natamani abak tu

    Jibu

    Wamuache aende. Kuna maisha nje ya Arsenal

    Jibu

    Ni vyema abaki tu

    Jibu

Acha ujumbe