Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amemtaka mshambuliaji Nicolas Pepe kuboresha kiwango chake na kudhihirisha ubora wake mara kwa mara katika michuano mbalimbali msimu huu.

Hii ni baada ya nyota huyo raia wa Ivory Coast kusaidia Arsenal kupata ushindi wa 3-0 dhidi ya Molde mnamo Novemba 26, 2020 nchini Norway katika michuano ya Europa.

 

arteta, Arteta -“Pepe Anaweza Kuwa Tegemeo Arsenal.”, Meridianbet

Pepe alishutumiwa vikali na Arteta kwa kuchangia Arsenal walioambulia sare tasa dhidi ya Leeds United uwanjani Elland Road mnamo Novemba 22, 2020 baada ya kupewa kadi nyekundu.

Alichangia nafasi kadhaa za wenzake kufunga mabao katika vipindi vyote viwili. Swali kubwa ni lini atafikia kiwango ambapo atakuwa sasa mchezaji wa kutegemewa na timu, na ambaye atakuwa katika kiwango cha bora katika kila mchuano,” alisema Arteta.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

21 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa