Kocha mkuu wa llabu ya Arsenal, Mikel Arteta amesema ushindi wa jana dhidi ya Tottenham Hotspur ni mahususi kwa mashabiki wa timu hiyo.

 

arteta, Arteta : Ushindi dhidi ya Tottenham ni Mwanzo tu., Meridianbet

Arteta amesema walikuwa bora sana ndio maana wamepata ushindi mnono anaamini huo ni mwanzo wanahitaji kuwa bora kama jana ili kuhakikisha wanashinda kila mechi.

Arsenal walianza msimu vibaya baada ya kupoteza michezo mitatu ya kwanza mfululizo dhidi ya Brentford, Chelsea na Manchester City bila kufunga goli hata moja kitu kilichompa wakati mgumu kocha huyo.

Kocha huyo pia anaamini kipindi walichopitia ni kwaajili ya kutengeneza timu hiyo kuwa bora katika kipindi kijacho, na anaamini watakuwa bora zaidi ya hapo kwajinsi msimu unavyokwenda.

“Nahisi kile kinachotokea hapa, na nahisi kile kinachoeendelea kwa mashabiki, kwa kizazi cha wachezaji tulionao hapa, na kila mtu ambae anajihusisha na timu hii. Nadhani tunatengeneza kitu kikubwa.” alisema kocha huyo.

 


SPACE SPIN NA MERIDIANBET.

Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa