Arturo Vidal Awaaga Barcelona

Nyota wa Barcelona, Arturo VidalΒ  anaripotiwa kuwa tayari ameshawaaga klabu ya Barcelona akiwa tayari kuungana na Inter Milan.

Ripoti zinasema kuwa nyota huyu aliamua kwenda kutembelea viwanja vya klabu kwa ajili ya kuwaaga jamaa zake wa Barcelona wakati akiwa mbioni kuungana na Antonio Conte kule Italia

Vidal anatajwa kuwa amefanya mazungumzo na kukubaliana na masharti binafsi ya Inter, huku vilabu hivi viwili vikifikia muafaka wa €500,000 pamoja na boasi.

Staa huyu anatarajiwa kutua Italia kwa ajili ya vipimo vya Afya, na huu ndio ulikuwa wakati wake muafaka kuwatembelea wanatimu wenzake anao waaacha na kukusanya vilivyo vyake vilivyokuwa vimesalia klabuni hapo.

Arturo Vidal alikuwa kwenye darubini za Inter Milan tangia mwaka 2018, lakini kwa bahati mbaya Inter walimkosa baada ya kuamua kwenda Barcelona.

 


 

SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

41 Komentara

    yeye anaona inter panamfaa zaidi mawazo na maamuzi yake tusiyapinge kabisa

    Jibu

    Vidal anaenda kufanya maajabu inter

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Nenda kapa

    Jibu

    Nenda kapambane kwengne uwezo walk tusahauona ndan ya barca

    Jibu

    Vizuri nenda kawaonyeshe maajabu mzee baba

    Jibu

    Ni sawa kaona kwake yye kwenda inter pana maslai kwakuwa yeye Ni mchezaji mzuri sana

    Jibu

    Kila la kheri Arturo huko uendako kafanye kazi njema

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    Vidal yupo vizuri kama inter watashilikiana nae kwa pamoja tunaimani hatabadilisha matokea

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Vidal hakuwa na misimu mizuri ndani ya Barca, acha akajaribu bahati yake sehemu nyingine

    Jibu

    Kila la kheri vidal

    Jibu

    Vidal akafanye maajabu sas

    Jibu

    Kila kheri

    Jibu

    Arturo Vidal atakumbukwa sana kwa mchango wake sana Barcelona

    Jibu

    Vidal bado anakitu mguu mwake ingawah kocha mpya wa Barcelona hajawachaguo lake kila la kheri Kama hatajiunga na wababe wa italia inter milan

    Jibu

    Kiungo mahiri mno ambaye nilitamani asasjiliwe na klabu yeyote EPL

    Jibu

    Safar njema

    Jibu

    Inter wamejiimarisha na wana kiu ya kuchukua ubingwa wa seria a

    Jibu

    Safi sana Vidal

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Aende tu panamfaa sana

    Jibu

    Kila LA kheri

    Jibu

    Mashabiki wanakutakia Kila la kheri @meridianbettz

    Jibu

    kila la kheri uko uendako#meridianbettz

    Jibu

    Kabadilishe upepo huenda msimu huu ukafanya Mambo makubwa ndani ya inter

    Jibu

    Kafanya jambo sahihi kubadilisha upepo ,uzuri wake unajulikana anaweza kufanya vizuri zaidi

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Vidal anaenda kufanya maajabu inter

    Jibu

    Kila la kheri nyota yake inawe waka inter!

    Jibu

    Safi sana vidal

    Jibu

    Duh tutamkumbuka sana

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    All the best

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Nilikua bado natamani kumuona barcelona

    Jibu

    Asnt kwa taarif

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    kila la kheri

    Jibu

    Vidal hakuwa na misimu mizuri ndani ya Barca, acha akajaribu bahati yake sehemu nyingine

    Jibu

Acha ujumbe