Klabu ya Atalanta imekubalia kutemana na nyota wake Papu Gomez wakielekea kuumkana na Roma huku wakifanya uamuzi wa kumrejesha Josip Ilicic.

Mechi dhidi ya Roma inachezwa Jumapili hii UNAWEZA KUBASHIRI HAPA

Kwa mujibu wa taarifa ya Sky sport, nyota huyu ataendelea kuwa nje ya dimba wakati klabu ikiamua kutomtumia dhidi Fiorentina na Juventus pia.

Gomez Atalanta
Papu Gomez Atalanta

Hata hivyo, taarifa juu ya kuachwa kwa nyota huyu haihusishi maamuzi ya kocha akishirikiana na klabu kwa sababu ya changamoto yeyote ya jeraha.

“Kocha, kwa makubaliano na klabu, ameamua kutomuita Alejandro Papu Gomez kutokana na sababu za kiufundi.”

Wakati huo, Ilicic anarejea kikosini akiwa ameikosa mechi dhidi ya Juventus baada ya kupata changamoto ya afya yake. Mattia Caldara, Mario Pasalic, Cristiano Piccinini na Matteo Ruggeri bado wanauguza majeraha yao.

Kikosi cha Atalanta kinachotarajia kumvaa Roma: Depaoli, De Roon, Amad Diallo, Djimsiti, Freuler, Gollini, Gosens, Gyabuaa, Hateboer, Ilicic, Lammers, Malinovskyi, Miranchuk, Mojica, Muriel, Palomino, Pessina, Romero, Rossi, Sportiello, Sutalo, Toloi, Duvan Zapata.


URUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

Atalanta, Atalanta Wameamua Kumtema Papu Gomez Kikosini, Meridianbet

INGIA MCHEZONI!

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa