Baada ya miaka 6 Atletico Madrid wamechukua Ubingwa wao wa 11 wa Laliga Santander. Atletico Madrid walisubiri hadi mchezo wa mwisho kutangaza Ubingwa na hii ni baada ya kuwafunga Real Valladolid magoli 2-1.
Mara ya mwisho Atletico Madrid kutwaa Ubingwa ni mwaka 2014 wakifanya hivyo pia kwenye mchezo wa mwisho wa May 17 2014, pale Camp Nou baada ya Sare ya goli 1-1 na FC Barcelona.
Jana May 22 2021 Atletico Madrid wametwaa ubingwa pia wakiwa ugenini katika Estadio Manicipal Josee Zorrilla. Huu ni Ubingwa wa pili Kwa Atletico Madrid ndani ya miaka 10.
Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.
Shakila
Ongeren san
Sauda
Safi sana
Angelina
Iko poa