Klabu ya Atletico Madrid wameripotiwa kuwa wanamtupia jicho beki wa Chelsea Marcos Alonso katika uwezekano wa kumuongeza kikosini wakati wa dirisha la usajili la Januari.
Licha ya kukaa kileleni kwenye msimamo wa La Liga, bosi wa Atletico Diego Simeone ataingia sokoni katika dirisha la uhamisho mnamo Januari kwa akipania kuweka sawa safu yake ya ulinzi.
Muargentina huyo pia anataka kuwa na machaguo ya kutosha linapokuja suala la mabeki wa pembeni, jambo ambalo linaonekana kuwapa Atletico nia ya kumsajili Ainsley Maitland-Niles wa Arsenal.

Kwa mujibu wa El Chiringuito, Simeone pia anamtamani Marcos Alonso, ambaye anatarajiwa kuondoka Stamford Bridge mwezi ujao.
Mchezaji huyo wa miaka 29 hajapata nafasi ya kuichezea Chelsea tangia mechi waliyotoa sare ya mabao 3-3 ugenini dhidi ya West Bromwich Albion mnamo mwezi Septemba 26, akiendelea kuwa nyuma Ben Chilwell na Emerson Palmieri kwa mpangilio.
Atletico inasemekana wanaandaa mazingira ya kujadili mkataba wa mkopo na klabu yake hiyo ya Ligi Kuu.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???
Issa
Madrid watambeba
Saupha mohamed
Wamchukue jamaa anajua
Adelta
Jamaa yuko vizuri wamchukuwe
Hopemwaikuka
Dogo anaweza sanaa
Sarah
Wamchukue tu Yuko vizuri
Tatu
Jamaa yupo vizuri
Shakila mrope
Jamaa anajua san wamchukue tu
Lydia Emmanuel Magoti
Jamaa anajua
Fatuma kasomo
Wamchukue tu
Mwanahamisi
Jamaa yuko vizuri
Caroline
Marco’s Alonso yupo vizuri
Theonestina
Yupo vizur
Rahmal
Dogo mwamba anaweza
warda
Alonso kesha choka mbona