Atletico na Leipzig Kukipiga Kama Kawaida.


Shirikisho la vyama vya kandanda Ulaya – UEFA limesema mechi ya robo fainali kati ya Atletico Madrid na RB Leipzig itaendelea kama ilivyopangwa Alhamis licha ya watu wawili wa klabu hiyo kupatikana na virusi vya corona.

 

Atletico na Leipzig Kukipiga Kama Kawaida.

Klabu hiyo haikusema kama watu hao wawili ni wachezaji, wakufunzi au maafisa. Lakini vyombo vya habari Uhispania vinasema ni wachezaji.

Atletico imesema raundi nyingine ya vipimo imefanywa leo. Watu hao wawili wamejiweka katika karantini majumbani mwao.

Klabu hiyo imefuta mazoezi yao ya mwisho leo kabla ya kwenda Lisbon. Msemaji amesema wanasubiri kwanza vipimo vya leo.

 

Atletico na Leipzig Kukipiga Kama Kawaida.

Mechi za robo fainali zilianza Jumatano mjini Lisbon, wakati Atalanta ya Italia walipokubali kichapo cha 1-2 dhidi ya Paris Saint-Germain na fainali itakuwa Agosti 23.


Umekuwa mteja muaminifu wa meridianbet? Basi fahamu kuwa kuna zawadi kibao hadi 5% ya pesa yako inarejeshwa kwako. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

Soma zaidi

 

42 Komentara

    Leipzig yuko vizuri sana mana wanaweza sana sidhani kama watawaacha atletico ili ashinde.

    Jibu

    Hii corona imevuruga mipango mingi sana@ meridianbettz

    Jibu

    Yuko vzuri sana

    Jibu

    Ni bonge la mechi

    Jibu

    Corana IPO acha ishi kil

    Jibu

    Maoni:maamuzi mazuri shilikisho limefanya ili uefa iweze kuisha ndan ya muda

    Jibu

    maamuzi mazuri shirikisho limefanya ili UEFAiweze kuisha vema

    Jibu

    Maamuzi mazuri shirikisho limefanya ili uefa iweze kushinda ndan ya muda#Meridianbettz

    Jibu

    Sikuizi ugonjwa wa korona umekua wakawaida tu si kama zamani watu walikua na of sana wakijiisi wanamaambukizi ya ugonjwa huo

    Jibu

    Makala nzur

    Jibu

    Mechi ya kibabe

    Jibu

    Yuko vizuli sana#meridianbettz

    Jibu

    Corona imeharibu mipango ya watu..

    Jibu

    Corona ni balaa sana

    Jibu

    Nibonge ramechi hilo

    Jibu

    Nasubiri kuona mchezo wa kuvutia, nampa Atletico nafasi ya kushinda#meridianbettz

    Jibu

    Mchezo huu uko poa sana

    Jibu

    Mi nasubilia kuona mtanange huu nan ataibuka kidedea

    Jibu

    Bonge la makala

    Jibu

    Mambo mazuri sasa

    Jibu

    Mambo ni moto

    Jibu

    Mtanange mkali Sana

    Jibu

    Ndio lazima maisha yaendelee

    Jibu

    Don’t miss

    Jibu

    Mtanange wa kibabe

    Jibu

    Hii mechi ya kibabe.

    Jibu

    Bonge na game

    Jibu

    Me naona mech itakuwa kal sana licha ya RB Leipzig kupatwa na majanga ya wachezaji wao kukutwa na corona maana maandaliz yao yalikuwa mazur na ukiangalia rekod yao haijashuka bado cha msingi n kujipanga na kufanya maajabu

    Jibu

    Mechi kaliii

    Jibu

    Asante kwa makala

    Jibu

    Mamboo badoo ni motoo

    Jibu

    Kumenoga

    Jibu

    Hii mechi sio ya kikosaa

    Jibu

    Mech kal

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    siku hizi corona tuna ishi nayo

    Jibu

    Duuuuh hatar iyooooo

    Jibu

    Corana IPO acha iishi kila kitu lazma kiendelee

    Jibu

    Mambo maresh

    Jibu

    Ilikuwa bonge la mechi

    Jibu

    Ila Corona Jamani hatuta isahau #Meridianbettz

    Jibu

    Nomaa sanaa.

    Jibu

Acha ujumbe