Kuelekea mchezo wa marudiano kati ya Atletico Madrid vs Man City, wenyeji wameambulia rungu la adhabu kutoka UEFA.

Atletico wameamriwa kufunga uwanja wao kwa kiasi ikiwa ni amri ya kuacha takribani siti 5,000 wazi bila mashabiki kwenye mchezo dhidi ya Man City wiki hii. Uwanja wa Wanda Metropolitano unauwezo wa kubeba mashabiki 68,456 lakini, wenyeji hawa watapaswa kuachukua nafasi 63,456 pekee.

Hii ni adhabu wanayoipata vijana wa Simeone ikiwa ni matokeo ya vitendo visivyo vya kiuungwana vilivyofanywa na mashabiki wao kule Etihad kwenye mchezo wa kwanza.

Atletico
Kevin DeBryune akishangilia goli la ushindi dhidi ya Atletico Madrid kwenye mchezo wa kwanza.

Pamoja na kuacha nafasi hizo wazi, timu hiyo pia imeamriwa kuweka chapisho maalumu la UEFA lenye ujumbe wa kupinga ubaguzi wa rangi “#NoToRacism”

Huu utakua ni mchezo wa maamuzi kwa timu hizi ambazo, mchezo wa kwanza City waliibuka na ushindi wa 1-0 kwenye uwanja wao wa nyumbani kule Uingereza.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa