Maisha ya soka yanapande mbili – klabu na timu ya taifa. Pierre-Emerick Aubameyang ameamua kutundika daluga upande mmoja.

Aubameyang ambaye ni mchezaji wa FC Barcelona na nahodha wa Timu ya Taifa ya Gabon, amechukua uamuzi wa kustaafu kuitumikia timu ya Gabon siku chache kuelekea michezo ya kuwania tiketi ya kucheza mashindano ya kimataifa.

Aubameyang, Aubameyang Atundika Daluga., Meridianbet

Akiwa na umri wa miaka 32 pekee, Pierre amefikia uamuzi huu akiamini ni muda sahihi kwake kutundika daluga kunako soka la Kimataifa na kuendelea na soka la vilabu. Anaachana na Gabon akiwa ameitumikia kwa michezo 68 na kutupia magoli 29.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa