Aubameyang Kushawishika na Arsenal Baada ya FA.


Kocha wa klabu ya Arsenal, Mikel Arteta ana matumaini ya ushindi wa 2-0 waliopata dhidi ya Manchester City katika mchezo wao wa nusu fainali ya Kombe la FA mnamo Jumamosi, utamshawishi Pierre-Emerick Aubameyang kusaini mkataba mpya.

Hatma ya Aubameyang kwa Arsenal haijulikani, huku uvumi katika miezi michache iliyopita ukimuhusisha kuondoka, mkataba wa nyota huyo kimataifa wa Gabon unaendelea hadi mwisho wa msimu ujao.

Aubameyang Kushawishika na Arsenal Baada ya FA.

Nahodha huyo wa The Gunners alifunga Mabao yote katika kila kipindi cha mechi hiyo hapo jana huko Wembley na kuisaidia Klabu yake kufika fainali kwa rekodi mara 21 ya Kombe la FA .

Ni Muendelezo wa wiki bora kwao baada ya kuwafunga Mabingwa wa PL Liverpool 2-1.

Arteta ana hamu ya kumbakiza mshambuliaji wake nyota kwa mkataba mpya na anahisi ushindi wa upande wake dhidi ya City ndio haswa Aubameyang alihitaji kuona.

Aubameyang Kushawishika na Arsenal Baada ya FA.

“Natumaini itamsaidia kuamini zaidi kuwa tunaenda katika mwelekeo sahihi,” Arteta aliiambia BBC Sport juu ya Aubameyang baada ya mechi.

“Tuna wiki nzuri ya kuzipiga timu mbili bora barani Ulaya, haifanyika kila siku. Sijali ni nani tunacheza nae, ninaweza kuwaamini wachezaji wangu wote, tulifanya mabadiliko na kila mtu alikuwa tayari. Tulilazimika kuteseka kwa muda mwingi, ilibidi tujipange vizuri.” aliongeza kocha huyo wa Gunners.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

54 Komentara

    Habari njema#Meridianbettz

    Jibu

    Kocha wa Arsenal anajiamni sana

    Jibu

    Aubameyang asiondoke asaini mkataba mwingine hapo

    Jibu

    Pierre Nae Anaipendaga sana Arsenal#Meridianbettz

    Jibu

    Kwa uwezo wake alio huwonesha kipindi hiki aubameyang amekua staa kwenye clab ya arsenal hii ni habari nzuri kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Tunausubiri kwa nguvu zote huu mtanange

    Jibu

    Wachezaji wengi siku hizi wanataka pesa zaidi na kucheza ktk timu yenye mafanikio tayari, hawataki kutoa jasho jingi kutafuta mafanikio. Mikel Arteta anatakiwa kufikiria wachezaji wenye malengo ya muda mrefu na Arsenal#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki#meridianbttz

    Jibu

    Makal nzur

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Habari njema kutoka Meridianbett

    Jibu

    Makala nzuri

    Jibu

    Kama anaona Kuna mafanikio kwake atashawishika kubaki pale lakini Kama anajitambua ni Bora asepe tu

    Jibu

    Naona tunazidi kupata mapya kutoka meridianbet

    Jibu

    Klabu ikiwa inashinda vikombe wachezaj kuhama kwenda kwingine uwa ni vigumu

    Jibu

    Itakuwa vizuri akiendelea kuitumikia arsenal

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki arsenal

    Jibu

    Klabu ikiwa ipo vizuri wachezaji kuama inakuwa vigumu sana

    Jibu

    Auba arsenal ni timu ya msimu utafute chaka lingine kuendeleza kipaji chako

    Jibu

    Anapotea

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Nihabari njema sanaaa

    Jibu

    Baki tu hapo.

    Jibu

    Maoni:
    kwa uwezo aliokuwa nao aubamiyang kam angekuwa anacheza mbele ya King MESSI basi
    angekuwa mchezaj bora wa dunia mda cmref.

    Jibu

    Endapo kama kuna Club kubwa zitaleta ofa kwa Arsenal juu ya Aubameyang basi atakiwi kulaza damu kama anahitaji mafanikio zaidi.

    Jibu

    ni habari njema sana kwa wapenzi wa arsenal

    Jibu

    Arsenal wako vizuri sana safari hii.

    Jibu

    Ni vema wakamshawishi akasalia arsenal maana ni mchezaj muhimu

    Jibu

    Habari njema Sana kwetu mashabiki wake

    Jibu

    Habari mzuri

    Jibu

    Hii ni nzur kwa arsenal

    Jibu

    Aubameyang anataka timu inayoshiriki UEFA champions League na Arsenal pamoja na kufikia fainali ya FA haitashiriki Ligi za Ulaya. Sidhani matokeo haya yatamubakisha#meridianbettz

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Habari njema kwa arsenal

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki

    Jibu

    Fresh akienda

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Imekaa vizuri sana

    Jibu

    Aubameyang kaweka imani kubwa Sana kwa wana gurners zidi ya mechi na man city kwa parformance aliyoifanya.

    Jibu

    Ataondok t labd wachukue kombe

    Jibu

    Maslahi ndo kla kitu

    Jibu

    Maoni:asante kwa makala nzuri

    Jibu

    aendelee na matumaini yake ila tu ajue tunawasubiri Community shield

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Saafi sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Mikel arteta ana jiamin sana ila mdomo utakua mponza

    Jibu

    Aubameyang anataka kwenda arsenal ..mhhh

    Jibu

    Habali njema kwa mashabiki wa arsenal

    Jibu

    Gud news

    Jibu

Acha ujumbe