Matajiri wa Ligi Kuu Bara, Azam FC, katika kuingia kwao sokoni wamenasa kiungo wa Power Dynamos ya Zambia, Benson Sakala.
Kama mambo yatakwenda vizuri wakafanikiwa kumsajili Sakala au mchezaji mwengine wa kigeni katika dirisha kubwa la usajili ambalo linakuja maana yake watalazimika kupunguza mchezaji mmoja wa kigeni waliokuwa nao wakati huu.
Katika kikosi cha Azam FC, tayari kuna wachezaji kumi kama ambavyo sheria za Ligi zinavyohitaji.
Wachezaji wa kigeni waliokuwa katika kikosi cha Azam Fc, Mathias Kigonya, Bruce Kangwa, Nicolas Wadada, Daniel Amoah, Yakub Mohammed, Prince Dube, Obrey Chirwa, Niver Tigere, Mpiana Monzinzi na Ally Niyonzima.

MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.
Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.
Wajitahidi waipate
Sakala jembe