Baada ya kushinda ubingwa wa UEFA Champions League, Nahodha wa timu ya Chelsea Cesar Azpilicueta amefunguka na kumsifia mchezaji mwenzake N’golo Kante kuwa ni kiungo bora zaidi duniani kwa sasa!
Goli pekee la Kai Haverts lilisaidia Chelsea kufanikisha Cheslea kujishindia kombe la UEFA kwa mara ya pili baada ya kufanya hivyo mwaka 2012. Katika mechi hiyo, mfaransa n’golo kante alionekana akicheza kwa hari kubwa kama kawaida yake na akionekana kutambaa uwanja mzima.
Azpilicueta akielezea furaha ya ushindi akusita kumpa heko na salamu maalum mchezaji mwenzake huyo kwa kuwa mtu safi sana. na ambaye ana mchango mkubwa kwenye maendeleo ya Chelsea.
“Ni wazi kabisa, ndiyo kwa sasa Kante ni mchezaji bora duniani. Anafanya kila kitu. Nguvu anayoleta, sijui ni mipira mingapi ameshinda leo. Jinsi anavyopeleka mpira mbele, anachukua nafasi kubwa sana na aonekana sehemu nyingi uwanjani,” alisema Azpilicueta.
Kante amekuwa na historia kubwa sana katika mashindano ya maisha yake, amefanikiwa kushinda kombe la EPL, UEFA Champions League, EUROPA, FA, na World Cup, raia na wadau wa soka wanampenda sana Kante na wanahisi ni wakati wake kubeba Ballon d’OR. Yapi maoni yako mdau?
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.
Kante noma