“Wakati nikiwa nina miaka 14 nilipata nafasi ya kujiunga na Arsenal, Chelsea au ata Man utd, lakini nilipoitembelea Chelsea kwa mara ya kwanza nilijisikia vizuri sana kuwa Chelsea. Lilikuwa swala gumu sana maana baba yangu hakutaka nijiunge na Chelsea.”
“Na nakumbuka ata fomu yangu ya kwanza kuisaini kujiunga Chelsea, baba alikataa kutia saini yake.”
“Aliniambia, wewe hupaswa kucheza Chelsea, unatakiwa kujiunga na Man utd, na kama ukitaka kucheza hapa, sitokuja nawewe kusaini fomu yako, nami nilimjibu, kwa 100% nina hakika kwamba nataka kusaini hapa (Chelsea).”
“Lakini swala gumu likawa siwezi kusaini fomu bila mzazi, hivyo mama yangu akakubali kuja kusaini ingawa baba alipinga sana.”
“Kuna picha alikuwepo mama na Graham Rix (alikuwa kocha wa akademi ya Chelsea) ile picha ilikuwa wakati mama aliposaini fomu yangu ya kujiunga na Chelsea.”
“Nilijua kabisa kwamba Chelsea patakuwa sehemu yangu ya muhimu sana na nashukuru hilo lilitimia. Japo siku moja niliyotamani iwe bora sana kwangu lakini ikawa siku ya maamuzi magumu sana kuwai kuyafanya (kupingana na baba mzazi).”
Elika
Safi sana amefanya jambo jema
Magdalena
Msimamo wa maamuzi ndo kitu muhimu kikubwa kuusikiliza moyo unataka nini
Omary lukumbi
Ni jambo zur kufanya jambo ambalo moyo wako una hitaj kutenda sio kwa kuforce ya mtu unatakiwa kusikiliza moyo wako unataka nn ndicho alicho fanya jonh terry
Tahiya
Terry alifuata moyo wake ni safi sana mana halifanya mengi kwa timu yake ya chelsea
Theckla
Makala nzuri
Mwanaidi
Wengi tulikuwa hatufahamu hili asante kwa kutujulisha meridian
Emmy cleopa
Habar njema
Samiah
Good news
felister
safi kila mtu ana maamuzi yake
Rehema
Hii ni habari njema
Adelta
Amefanya Jambo jema
farida ahmadi
Maamuzi ni yako John Terry pia hata baba ako alikuchagulia timu sahihi tyuu sio mbaya irimradi zote ni za premier league
Khadija
Duuh ongera sana kwan moyo ukiamua umeamua#meridianbettz
warda
Ujeuri tu kilichomfanya asiende United ni kitu gani #Meridianbettz
Neema hassan
Amefanya maamuzi sahihi
Devotha
Kuna muda unatakiwa uwe na maamuzi yako binafsi
Hope mwaikuka
Vzur sio kuamuliwa tu kila ktu
Kenani
Kikubwa mapenzi na timu
Johnmary joel
Maamuzi yake ni sahihi kwasababu kitu ambacho anakifanya ni cha Kwake yeye nasiyo wazazi#meridianbettz
Issa
Terry ungesaini united
Sadick
Uamuzi mzuri ni ule unaoamua mwenyewe bila shinikizo wala kushawishiwa na mtu. Mama Terry amenikumbusha tabia za akina Mama wengi kutopingana na matakwa ya watoto wao#meridianbettz
Caroline
Wazazi wanapenda kuwapangia watoto cha kufanya.sio jambo zuri sana
lombo
vzur anamsimamo fanya kitu kujifurahisha ww na si kufurahisha mtu
Salma
Makala nzuri
Njiku
John terry nimchezaji maarufu sana clubin hapo Chelsea pia hata kwa club nyingine john terry alikuwa captain wa timu hiyo kwa kipindi chote mpaka kustaff kwake aliipenda sanaa Chelsea
Dorophina
Jambo ulilolifanya Ni la mahamuzi mzazi hatakiwi kumpangia mtt maamuzi yake
Genia Sikaluzwe
Kafanya maamzi sahihi
Evaluziga
Amefanya Jambo zuriu in
Ernest
Mara nyingi wazazi wakiume wamekuwa wakishindwa kuwasupport watoto wao kwenye masuala mbalimbali lakini wakina Mama wamekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha watoto wanaishi katika ndoto zao.
Antony Luseno
Sio mbaya licha ya kutokusaini man united uzuri ni kwamba amepata mafanikio makubwa chelsea
David Pere
Baba ake ni mhabiki wa Man U ,Ila mtoto kaipenda Chelsea
Mwanahamisi
Kafanya maamuzi sahihi
Sabrina
Maoni:napenda watu wenye msimamo ni vzuri kuchukua maamuz
isha
Maamuzi sahihi
Hamidu
Baba yake terry…shabiki wa man utd!?
Gabriel
Bora alivyoaain Chelsea maana man angepotea
Povel
Duh nilikuwah cjui hlo thnks meridian bet kwa update za michezo
Shafii
Tunaheshimu wazazi kwa maamuzi yao wakati mwingine inatupaswa tuanglie maamuzi yetu na upenzi wa kitu Fulani wapi nafaa kufiti
Mwajuma
Angesikiliza uwamuzi wababa yake ingekuwa poa sana
Frank Patrick
Mchezaji wa kukumbukwa Chelsea kwa mazuri na mabaya yake
Furahav
Unatakiwa ufanye kile unachokipenda.
Zeiyana
Mapenzi yake mwenyewe john tery yalikua kuitumikia Chelsea
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri alivyo mwambia ila yeye Kama yeye nayeye ana huwamuzi wake nakufanya kitu anacho kiataji kwenye nafsi yake yupo sahii kwakweli
Tatu
Kafanya maamuzi sahihi