Mashindano ya ligi ya mpira wa kikapu vilabu bingwa barani Afrika (BAL), yanaanza kutifua vumbi jijini Kigali kuanzia jana jumamosi tarehe 21-28 Mei 2022.
Ratiba:
Jumamosi May, 21 AS Sale(Morocco) vs Petro de Luanda
Jumamosi, May 21 F.A.P (Cameroon) vs R.E.G (Rwanda)
Jumapili, May 22 Cape Town Tigers (South Africa) vs U.S Monastir (Tunisia)
Jumapili, May 22 S.L.A.C Basketball (Guinea) vs Zamalek (Egypt)
Ratiba Kuanzia Nusu Fainali ya Michuano ya BAL itakuwa kama ifuatavyo:
25th May : Semi-finals
27th May : 3rd place Game
28th May : Final
Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.