Ni matumaini mapya kwa mastaa wa Real Madrid, Eden Hazard na Gareth Bale baada ya Carlo Ancelotti kutangazwa kuwa kocha mpya wa timu hiyo kuelekea msimu ujao.

hazard

Ancelotti alipoulizwa kuhusu Hazard amesema: “Ni mchezaji mzuri, amekua na matatizo ya majeraha lakini hiyo haionekani kumuondoa kwenye ubora wake kwa sababu ana shauku ya kufanya vizuri siku hadi siku.

Gareth naye hakucheza sana kwenye Ligi lakini alifanikiwa kufunga mabao. Alikuwa na mchango mkubwa kwenye mechi za mwisho ambapo alicheza kwa kiwango cha juu sana. Namfahamu vizuri. Kama atapewa motisha ya kutosha, anaweza kuwa na msimu mzuri. Sina shaka na hilo.”

hazard, Bale, Hazard Wanabaki Real Madrid, Meridianbet

Real inategemea kupata kitu kikubwa zaidi kutoka kwa mafundi hao waliosajiliwa kama Galacticos.


MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa