Staa asiyeishiwa vituko, Mario Balotelli ametangaza kumtafuta mzururaji aliyeharibu gari yake alipokuwa ameipaki.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Italia ambaye kwasasa anatarajiwa kujiunga na klabu ya Monza inayoshiriki madaraja ya chini nchini Italia, inayo milikiwa na raisi wa zamani wa AC Milan.

 

balotelli, Balotelli Amsaka Aliyeharibu Gari Yake., Meridianbet

Mwishoni mwa wiki Mario Balotelli alipost video katika mtandao wa Instagram ikionesha uharibifu uliotokea katika gari lake huku kioo kikiwa kimepasuka.

Yeyote uliyehusika najua utaupata ujumbe huu, nakwambia ni vizuri ukasali, na usali sana, usali nisije nikakujua ni nani, kwasababu nitahakikisha kuwa anafungwa kifungo cha maisha, kwa maana nitakuwa sina namna nyingine. ‘wewe ni ********’ “aliandika Balotelli


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

balotelli, Balotelli Amsaka Aliyeharibu Gari Yake., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

27 MAONI

  1. Inaumiza mtu kukuharibia kitu chako cha gharama!!!Sema Balotelli pesa hana angepotezea tu au ndo mawazo ya kwenda kuchezea Timu ya daraja la chini

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa