Mario Balotelli hajaungana na Vasco da Gama au Barnley na badala yake ataendelea na mazoezi chini ya vijana Silvio Berlusconi wanasohiriki Serie B -Monza.

Kwa mujibu wa Gianluca Di Marzi, tayari maamuzi yalikuwa yamefanyika juu ya nyota huyu na abatarajiwa kuungana na timu kuanzia Jumatatu.

Monza ni klabu ambayo inamilikiwa na aliyewahi kuwa raisi wa Milan – Silvio Berlusconi, ambaye alikuwa maarufu kwa kumnyoshea kidole staa huyu alipokuwa kwenye kikosi cha Milan.

Balotelli Hakuna Tena Vasco da Gama Wala Burnley

Mario Balotelli anafahamika kwa utata wake uwanjani na ukorofi katika timu, huku klabu kadhaa zikishindwa kufanya naye vyema kazi. Hatma yake inaweza kuwa ni ipi?

Mshambuliaji huyu mwenye miaka 30 sasa anatarajiwa kusaini mkataba wa miezi sita tu, wakati akiwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza na Brescia kwa dili lake la mda mfupi.


 

FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Balotelli, Balotelli Hakuna Tena Vasco da Gama Wala Burnley, Meridianbet

INGIA MCHEZONI

24 MAONI

  1. Ballotel safari yake ya soka inaisha akina bado hajafikia kutokana na sifa yake hazijitokezi time za kumsajili jamani sasa maumivu yamegeuka kwake

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa