Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba, Mwanamama Barbara Gonzalez ameongelea kuhusu klabu hiyo kuhusishwa na sajili mbalimbali ambazo wenyewe hawana mpango nazo na wala hazipo katika orodha yao.

 

Barbara: Tutashinda Ugenini Kama Nyumbani!

 

Simba ni club kubwa Barani Afrika, tumejiwekea mikakati yetu kama klabu wachezaji tunao wataka tayari tumeshaanza nao mazungumzo, Hayo nii maagizo kutoka kwa kocha mkuu Didier Gomes da Rosa🇫🇷.” alianza Barbara
“List tunayo, hao wachezaji wengine tayari tumesha malizana nao na wamesha saini bado kuwaatambulisha tu, Kiukweli wachezaji wa ndani kocha hakupendekeza tulio nao wanatutosha.
“Tetesi kuhusu Simba hizo ni za waandishi wa habari tu wa hapa nyumbani ila hatukua na mpango wowote wa kumsajili Manyama tungekuwa tuna mtaka siku ile ile tulivyo maliza mchezo na wao tungemsajili ila hakuwa katika mpango wetu.
“Tuna kocha professional na anawaelewa wachezaji, Simba tunakuja kivingine tumeweka pesa za kutosha kwaajili ya usajili hasa katika michuano ya kimataifa tumeona timu zinavyosajili kwa pesa nyingi na sisi tutaboresha kikosi chetu kwa kuwaleta wachezaji wenye viwango.” alimaliza Barbara Gonzalez.

WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa