Gazeti la Uhispania AS linasisitiza kwamba Barcelona bado wanajaribu kumshinikiza Arthur kukubali kukamilisha dili la kubadilishana na kiungo wa Juventus Miralem Pjanic.
Mbrazil huyo alisema mara kwa mara kwamba hana nia ya kuondoka Camp Nou, na akajitahidi kutia bidii katika kwa klabu yake hiyo.
Aliwagharimu € 31m akitokea Gremio msimu wa joto wa mwaka2018 na haujaweza kuwakosha vilivyo Barca kama walivyomtarajia, na hivyo hawa ‘Blaugrana’ wanamchukulia kama mchezaji asiyeendana na kasi yao.
Ingawa mchezaji huyo wa miaka 23 ameweka wazi kuwa hataki kutemana na Barcelona, ripoti za chanzo cha AS zinaendelea kutaja kwamba Klabu bado inajaribu kumshinikiza kuondoka.
Wakati huo Pjanic na Maurizio Sarri wana hamu ya kuona Arthur anaweza kutumika vipi pale Turin, lakini ukaidi wa staa huyu ndiyo ndio kitu pekee kinachoshikilia dili hili.
Arthur amecheza mechi 23 za ushindani hadi sasa msimu huu, akichangia mabao manne na kutoa asisti nne.
Hata hivyo, alikuwa na changamoto wa kifundo cha mguu na kiuno katika miezi ya hivi karibuni na akashindwa kuonekana vyema.
Mkataba wake na Barcelona utadumu hadi Juni 2024.
Salma
Wasimfosi uwenda mahamuzi yake yakawa sahihi
Hope mwaikuka
Kaza hapo hapo tu
Asha
Mchezaj mzur Sana haende habadilishe mazingira
Neema juma
Ila Barcelona nawajua walivyo hawapendi mambo ya ajabu kwahy uamuzi wanaotaka wao ni sahihi
Ester mmakasa
Duuh! Lakini mwenyewe anahitaji kubaki Barcelona inakuwaje wamshinikize mwenzao?
Ester jackson
Aeende tu kwan juventus mambo sasa yamekuwa mazuri kwanza atakutana na mfalme cr7 akiwa nae atabadilisha mitazamo ya makocha
Theckla
Wamuache tu mana hata yeye hayuko tayari na anazidi kuongeza juhudi
Ernest
Kijana anapewa nafasi ya kwenda kukua zaidi kwenye club nyingine
dorophina
Mchezaji mzuri kwann wanamfosi kuama
Antony Luseno
Bora aondoke maana mwisho wa siku bench itamuhusu
Warda
Arthur huwa anajivuta sana #Meridianbettz
aisha
Barca msimlazimishe muacheni huenda akatengeneza kitu kizuri
Juliana
Abadili tu mazingira bana,
Evaluziga
Kijana mwacheni aende kubadili mazingira msimlazimishe
Gabriel
Kwa swala la kumshinikiza mchezaji sio zur bora wampe maamuz mwenyewe binafsi
Magdalena
Mbona wanamshinikiza Sana au wammemchoka tayari wakati ni mchezaji mzuri sana
Rehema
Yuko vizuri Anthur km vipi baki hapo Camp nou,uendelee kuongeza kipaji chako.
David pere
Huyu dogo ni mchezaji nzuri Sana Sasa Hawa Barcelona wakijichanganya tu kuuza watakuja mnunua kwa Bei kubwa Kama , Wenzao Man u kwa Pogba
winfrida
unjajua akufukuzae hakwambii toka, huyu Arthur inabidi ajiongeze maana mwisho wa siku atakaa benchi kabisa.
Sadick
Club inamuona haendani na kasi yake hana budi kuondoka huenda Juventus akang’ara#meridianbettz
Zeiyana
Sio sahii kabic kila mtu hanamaamuzi yake
Swai
Wamuache abaki hapo hapo maana yeye ndio moyo wake upo hapo
Lombo
Wamwaje wasimlazimishe wampe uhuru ili afanye maamuz sahihi
Hamidu
Mchezaji nzuri wampe muda#meridianbettz
Aziza mushi
Wamuache tu sababu naye hayupo tayari.
Amani
hana nia ya kuondoka Camp Nou, na ajitahidi kutia bidii katika kwa klabu yake hiyo.pia kupiga Sana mazoezi
Povel
Wampe ruhusa akatafute changamoto maisha sehemu nyngne thnks kwa update
Emmy cleopa
Mchezaji mzur sana huyo wasimfosi kuama
Furahav
Arthur ungebaki tu mana nyota yako iko hapo barca.
Mwajuma
Wanakosea sana kumshinikiza aondoke wakati ndoto zake ni kucheza pale
Kenani
Alivyokuwa Barcelona alikua mchezaji mweny kiwango kikubwa kwahy ni nzur akilud ilikukuza kiwango zaid
Genia Sikaluzwe
Ni mchezaji Bora ila wasifanye halaka ya kumfosi uwenda akawa na maamzi mazuri
Caroline
Ukiona ivo juá Barça hawana maslai nae
Hidaya Mohammed
Akufuzae akwambii toka hata juventus pia itamfaa tu
Mwanahamisi
Mchezaji mzuri sana wasimfosi kuama
Lydia Emmanuel Magoti
Nivizuri kwakuwa anavyotoka kwenda semu nyingine kipaji chake kinazidi kukua
mwakalosi
barc wanampango wa kupunguza wachezaji mizigo list yake ni ndefu sikufikilia kama naye yumo nilidhani watampa nafasi
Theonestina
Asanteni meridianbet kwa taarifa.nilikuwa Sina hizo taarifa
mathayo sonje
huyu jamaa inaonyesha kua muda unavozidi kwenda atakosa nafasi ya kucheza ni bora tu angeondoka barca
Neema hassan
Kiwango kimeshuka barcelona hawamtaki..
Mwanaidi
Safi sana kama hakuweza kushawishika na inter
Samiah
Asanteee sanaa meridian kwa taarifa
Devotha
Angekubali kuondoka huenda akapata jina kubwa akifika uko juventus
Rehema Dickson
Lakini mwenyewe anahitaji kubaki Barcelona inakuwaje wamshinikize mwenzao?
felister
kwanini wamshinikize kwenda juventus
Isaya massawe
Niheri akaenda juventus maana aileti maana kukaa sehem usiyokubalika#meridianbettz
Shafii
Gud newz
Njiku
Mchezaji mwenyewe ndio anaamua pakwenda na sio kumhimiza Arthur