Barcelona Kubadilisha Jina la Uwanja na Kuitwa Spotify Camp Nou

Klabu ya Barcelona imesaini mkataba wa miaka minne na kampuni ya usikilizaji na Usambazaji wa mziki mtandaoni ya Spotify, ambapo watakuwa na haki ya kuwa mdhamini mkuu ambapo nembo yake itakuwa kwenye jezi na jina la uwanja kwa mara ya kwanza litabadilisha jina na kuitwa Spotify Camp Nou.

Barcelona kwa mara ya kwanza kwenye historia ya klabu hiyo uwanja wao unabadilishwa jina na kuanzia utatambulika kama Spotify Camp Nou, pia nembo ya Spotify itaonekana  mbele ya jezi za timu ya wanaume na wanawake  kwa miaka minne kuanzi msimu wa 2022-23.

Barcelona

Awali Barcelona walikuwa wanadhaminiwa na kampuni ya Rakuten, ambayo ilikuwa inahusikwa na manunuzi ya mtandaoni kuanzia mwaka 2017, wakati Stanley Black & Decker walikuwa wanadhamini timu ya wanawake kuanzia mwaka 2018.

Hadi mwaka 2006 Barcelona hawakuwa na udhamini wowote kwenye jezi zao mpaka walipoingia makubaliano ya udhamini na UNICEF.

“Ushirikiano huu ni  wa aina yake kwa klabu ya kuleta ulimwengu wa muziki na mpira kwa pamoja, kutoa jukwaa la wachezaji na wasanii na kujenga fursa mpya za kuunganisha wachezaji na wanamuziki pamoja na mashabiki duniani kote,” waraka wa klabu ulisomeka.

Makubaliano hayo sasa yanasubiriwa kupata uthibitisho kwenye ujumbe maalum wa wabunge ambapo utafanyika tarehe 3 April.

Mpaka sasa sio Barcelona wa Spotify ambaye amethibitisha kiasi cha fedha cha udhamini.


SHAOLIN FORTUNES 100 ONJA LADHA YA USHINDI

Maana ya ushindi mkubwa ipo hapa katika mchezo wa SHAOLIN FORTUNES 100 ndani ya kasino maridhawa za meridianbettz. Kwa dau dogo unashinda zaidi, unaweza kucheza mara nyingi uwezavyo huku ukifurahia ladha ya ushindi.

liverpool, Liverpool Kila Mtu Ashinde Mechi Zake., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe