Mtangazaji wa Kitaliano Diletta Leotta ameingia kwenye Headline baada ya kuahidi kuvua Nguo kwenye Uwanja wa Nou Camp endapo klabu ya FC Barca itaifunga zaidi ya mabao matatu klabu ya Bayern München

Barcelona

Barcelona inakabiliwa na Kibarua kizito Kwenye Michuano ya Uefa Champions lague cha kuupanda Mlima baada ya Kutembezewa kichapo cha Mgoli Mawili Kwenye Mchezo wa kwanza Dhidi ya Bayern Munich Kwenye Dimba la Arena Stadium Bayern itashuka Camp Now October 26 Kwenye Mchezo wa marudiano.

JE, Unadhani Barcelona Itafanikiwa Kuupanda Mlima Huu.

Barcelona


Kwa habari na matukio ya kimichezo na ya uhakika tembelea Youtube channel yetu Meridian Sport

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa