Barcelona imeanza kuchunguza uwezekano wa kumuuza beki wa kulia Jules Koundé katika dirisha hili la majira ya joto, huku vigogo wa EPL, Arsenal na Liverpool, wakiaminika kuwa na nia ya kumsajili nyota huyo wa kimataifa wa Ufaransa, kwa mujibu wa TEAMtalk.





