Akiwa kaacha alama na kumbukumbu nzuri katika soka hasa katika ule upande wa nafasi ya beki wa kulia na siku zote Dani atabakia kuwa na uhusiano na waKatalunya na tayari mBrazil huyo amefunguka na kudai kuwa Barcelona hapo kabla walikuwa na utambulisho wao, lakini sasa hivi wamekuwa ni timu ya kibiashara.
Kipindi cha Josep Maria Bartomeu kimeshapita, lakini matunda yake yatadumu kwa miaka kadhaa ijayo.
Akiongea na RAC1 Alves alisema “Hapo kabla, Barcelona walikuwa na utambulisho wao. Wamepoteza hicho kitu, Kinachowafanya Barcelona kuonekana wa tofauti ni mtindo wao na tamaduni zao; katika maisha hutakiwi kujaribu kuwa vile ambavyo haupo.”
“Barcelona sasa wanajaribu kuwa timu ya kibiashara, badala ya kuwa timu yenye mwonekano wake wa kipekee” Hivi karibuni klabu imesajili wachezaji waliowahitaji na ambao wange’fit katika falsafa ya klabu,”
Sasa wamesajili watu wengi pasipo kujali utamaduni wa Barcelona, wachezaji wengi wa gharama, lakini wasioilinda tamaduni ya klabu. Menejimenti imegeuka kuwa na tabia za “Mbovu”. Timu imezoea kuilinda falsafa yake, lakini sasa haifanyi hivyo tena”.
Alves akiongelea kuhama kwake Camp Nou na kujiunga na Juventus alidai kuwa “Nafikiri Batromeu alishawishiwa na wanaomzunguka.
Walitaka kuniacha niondoke pasipo hata kunambia. Naipenda ile klabu, nisingeweza kusaini sehemu nyingine yoyote, ilikuwa ni kunikosea heshima.”
Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!
Khadija
Mbona mambo hayo
Povel
Ni kwl Barcelona ni brandly kubwa sana co kila msimu wanapambana katika soko la biashara kuuza na kununuah wachezaj hvy huwafany kuwa juuu kimaendeleo ya soka mpka kiuchumi katika kila msimu hvy mchezaji yyte akienda pale laZima wa m brandly ilihawez kuingiah soko iliwawez kufany biashara
Sadick
Kwa miaka mingi Barcelona ilikataa kuwa na wadhamini na hivi karibuni wamekubali na Mazingira yanabadilika sio rahisi tena kwa timu nyingi kulinda utamaduni wa timu. Zamani iliwezekana kwasababu timu nyingi zilikuza wachezaji wake wenyewe na sasa hivi zinanunua ili kubaki ktk ubora wake.
Dorophina
Ni kweli barca kwa sasa wamekuwa watu wa biashara kwa upande wa wachezaji
Sauda
Barcelona wanasajili wachezaji wa gharama kubwa.
Fatina mfingi
Nikweli inawachezaj wazur sanaa
Adelta
Ni kwl anachosema dani Alves Barcelona wamekuwah watu wa kuuza na kununua nje na ndani ilikukuza uchumi na soka lao kiujumula
Hopemwaikuka
Ni nyakat tu watakua sawa
warda
Nayaamini maneno ya Alves
Tatu
Mess ndio anaibeba barcelona ni mchezaji anayeuzwa bei kubwa
Angelina
Ni ukweli mtupu
Caroline
Barcelona saivi wapo vizuri
Shani
Ni chama kubwa kwaiyo lazima wawe ktk mfumo huo
Mwajumah
Sasa naanza kuyaamini maneno ya Alves
Issa
Barca imekua ovyo sana
Saupha mohamed
Barcelona wanakwama wapi
Elika
Barca bado sana
Ester jackson
Kweli kabisa ni klabu ya biashara hasaivi wachezaji wanaocheza pale wanauwezo mzuri pia ambao wanalipwa pesa nyingi
Fatuma kasomo
Barcelona mnakwama wapi
Sabrina
Nakubali Barca iko kibishara
Zahara Omary
Nakubali barca yuko kibiashara
Tahiya
Ni kwer