Barcelona Kumrudisha Eric Garcia Camp Nou.


 

Beki wa Manchester City, Eric Garcia, 19, amekubaliana makubaliano binafsi (personal terms) na timu yake ya zamani Barcelona kujiungana nao mkataba wake utakapo malizika katika majira ya kiangazi.

Eric Garcia alikataa kuongeza mkataba mpya na City na inasemekana amekubaliana mkataba wa awali wa miaka 5 na Wakatalunya.

 

Barcelona wanahitaji kwanza kukubaliana na Manchester City ili kukamilisha dili hilo wakati timu hiyo ilikataa dau la milioni £9 katika dirisha kubwa la usajili msimu uliopita.

Kulingana na ripoti kutoka nchini Italy zinasema Barcelona wanahitaji kukamilisha dili la Garcia katika dirisha hili la mwezi january.

Lakini kama watashindwa kufikia makubaliano na City, watashuhudia mchezaji huyo akiondoka kama mchezaji huru katika dirisha la majira ya kiangazi.

 


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

16 Komentara

    Watakua wamefanya poa sana Eric yuko vizuri

    Jibu

    Barcelona wamefanya jambo zuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good New York

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa barca

    Jibu

    Barcelona wako vizuri

    Jibu

    Jambo zuri walilolifanya Barcelona

    Jibu

    Ni jambo zuri

    Jibu

    Habari njema kwa wana Barcelona

    Jibu

    Ni jambo zuli

    Jibu

    Gud idea

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa barca

    Jibu

    Barcelona wamefanya vizuri sana

    Jibu

    Nou camp wamrudishe mtu wao

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe