Wakati kukiwa na sintofahamu ya Raheem Sterling ndani ya Man City, ni vivyo hivyo kwa Antoinne Griezmann ndani ya FC Barcelona.
Inasemekana kuwa, wakati Griezmann akihusishwa na kuisogelea milango ya kutoka Camp Nou – Barcelona inamtizama Sterling kama mbadala sahihi wa nyota huyo wa Ufaransa.
Japokuwa, Barca wanahaha kiuchumi kufuatia mlipuko wa Covid19. Klabu hiyo hawaoneshi unyonge kwenye dirisha la usajili na wanajitahidi kadiri wawezavyo kuimarisha kikosi chao kwa msimu ujao.
Sergio Kun Aguero, Memphis Depay na Erick Garcia wameshatua Camp Nou kama wachezaji huru.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!