Barcelona Mambo Magumu, Uchumi Kikwazo.

Licha ya kufanya mabadiliko ya kiungozi ndani ya klabu ya Barcelona, suala la uchumi ni kikwazo kikubwa kwa klabu hiyo.

Iliwahi kuripotiwa kuwa uongozi wa Bartomeu, ulikuwa na makandokando kwenye mikataba kadha wa kadha, kuanzia mishahara ya wachezaji mpaka mikataba ya kibiashara.

Kujiuzulu kwa Bartomeu na kuchaguliwa kwa Joan Laporta, kumesuluhisha upande mmoja – utawala. Lakini suala la uchumi wa Barcelona bado ni changamoto kubwa.

Kupitia gazeti la Daily Mail, japokuwa Barca wamefanikiwa kuwachukua Sergio Aguero, Memphis Depay na Eric Garcia kama wachezaji huru, klabu hiyo inashindwa kuwasajili klabuni hapo kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe