Barcelona wanaweza kumnunua kiungo wa kati wa Wolves Ruben Neves kabla ya msimu wa 2022/23.

Barca wanatazamiwa kuwa ‘bize’ kwenye soko la usajili la majira ya kiangazi huku Xavi akipania kujenga kikosi kitakachobeba taji la La Liga kwa kipindi cha miezi 12 ijayo.

Mchezaji wa kimataifa wa Ureno, Ruben Neves anadaiwa kutafuta njia ya kutokea dimba la Molineux wakati Wolves wakishindwa kufuzu ligi ya Uropa kupitia Ligi ya Premia.

Kwa mujibu wa ripoti ya Diario Sport, Xavi anatafuta chaguo la kudumu la kuchukua nafasi ya nyota mkongwe Sergio Busquets, na Neves anapatikana kwa dau la takribani €40m.

Mchezaji huyo wa zamani wa Porto yuko kwenye orodha fupi ya wachezaji wanaolengwa na Xavi, huku mbadala wake ukiwa gharama mara mbili ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25.

Ruben Neves
Ruben Neves

Bosi wa Wolves Bruno Lage alikiri kuwa hana uhakika juu ya kusalia na Ruben Neves msimu ujao baada ya mashabiki wa Wolves kuimba wakimtaka asalie klabuni hapo kwenye yao ya mwisho ya nyumbani msimu huu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa