Barcelona Wabaki Kileleni Msimamo wa La Liga

Mshambuliaji kinda wa Barcelona, Ansu Fati, na mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo, Lionel Messi wameiwezesha klabu hiyo kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi ya La Liga baada ya kuwafunga Leganes hivyo kupelekea Barcelona kuibuka na ushindi wa 2-0 katika uwanja wa Camp Nou.

Ansu Fati aliwafungia Barcelona goli la kwanza katika dakika ya 43 ya mchezo huo, na hilo ni goli lake la tano katika msimu huu huu wa ligi.

Goli la lipi la vijana hao wa Quique Setien lilifungwa katika dakika ya 69 kwa mkwaju wa penati uliowekwa kimiani na Lionel Messi, almanusura Barcelona waondoke na ushindi wa magoli matatu lakini bahati haikua upande wao baada ya goli la Antoine Griezmann kukataliwa kupitia VAR.

Baada ya ushindi huo Barca wanasalia kileleni katika msimamo wa La Liga wakiwa na jumla ya alama 64 katika michezo yao 29 huku yakiwaacha Leganes mkiani kabisa katika msimamo huo na alama zao 23.

Matokeo Mengine La Liga

Espanyol waliweza kupata sare ya 0-0 na Getafe hivyo kuzidi kujiondoa taratibu katika hatari ya kushuka daraja inayowakabili hivi sasa.

Espanyol walicheza jumla ya dakika 74 wakiwa pungufu baada ya beki wao Bernado Espinosa kutolewa nje kwa kadi nyekundu katika dakika ya 16 tu ya mchezo huo

 

56 Komentara

    japo wananafasi nzur ligi bado ngumu point 64 kwa 59 wakati Madrid bado hajacheza mechi yake akishinda ni gape ya point 2 tu mtanange bado mgumu

    Jibu

    Duuh hongera yao hii wameonesha kua bado wako strong mpk sasa

    Jibu

    Wapo katika nafasi nzuri ila wasijiamini sana wakadhani ndio wamemaliza kila kitu kwani wanaweza wakazidiwa kodogo tuu kwa point chache na wakapigwa chini

    Jibu

    Hongera kwao inaonekana bado wapo vizuri sanaa

    Jibu

    habari njema wakaze buti

    Jibu

    Hongera kwao inaonekana wako vizur

    Jibu

    Mchezo bado mgumu sana wasijiamin kuwa kilelen kwan matokeo yanaweza kupinduka muda wowote japo nafasi waliyokuwa nao Barcelona n nzur lakin ajaribu kumuangalia na madril nae anamichezo mingi

    Jibu

    Lakini bado anahitaji ushindi zaidi ili waendelee kubaki kileleni

    Jibu

    Barcelona big up sana

    Jibu

    Nawapa hongera sana ila wasibwete

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Barca naamini kombe lakwake hilo hana mpinzani kwa msimu huu

    Jibu

    Hongera kwao sanaa

    Jibu

    Nilijua tu watashinda#Meridianbettz

    Jibu

    Namkubali sana barcelona

    Jibu

    Barcelona jeshi

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Barca wako vizuri msimu huu.

    Jibu

    Hiyo nafasi sidhani kama yupo wa kumtoa apo kileleni

    Jibu

    Bado wanawakati mgumu barca maana muasimu wake yupo nyuma yake real madrid

    Jibu

    Barcelona wazidi kujikita tu kwa kutumia wachezaji wake kina messi na kinda ansu fati wataliweza hilo

    Jibu

    Chama langu kazeni mbebe kikombe hicho

    Jibu

    Maoni:Barcelona wapo vzuri

    Jibu

    Barcelon jembe nawakubali sana#meridianbettz

    Jibu

    Wakaze buti wachukue ubingwa

    Jibu

    Barcelona wamenipa hela hongeren messi big up#meridianbett

    Jibu

    Mambo ya Messi ayo

    Jibu

    Habari mjema

    Jibu

    Barca wapo vzr#meridianbettz

    Jibu

    Kweli la liga imenoga nyasi lazima zingoke

    Jibu

    Mapambano bado ni mgumu wasibweteke tu kuona tayari ubingwa ni wao

    Jibu

    Habari nzuri sana wazidi kusonga mbele na kufikia lengo

    Jibu

    Barcelona’ wako vizuri kwenye mpira

    Jibu

    Kipute bado kigumu kujihakikishia Ubingwa, wanachofanya ni kuombea Real Madrid wapoteze mechi ijayo#meridianbettz

    Jibu

    Hongera kwao imeonyesha wapo vizur

    Jibu

    Maoni:wako vizuri sana

    Jibu

    Lion messi umenipa ushindi wa mkeka wangu kwa pent hongera sana Barcelona

    Jibu

    Big up in one, wameonyesha bado wanauwezo mzuri.

    Jibu

    Hongere Sana wanaonekana wako vizuri

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Tutalithibitisha hili baadala ya game mbili zijazo za barca na real

    Jibu

    Congltion kwao

    Jibu

    Hawezi kubaki milele ile ni ligi ngumu kwa Sasa sababu rear madrd nao wanataka ubingwa

    Jibu

    Safii Sana Barcelona ubingwa waho

    Jibu

    Kazi kwao, Madrid

    Jibu

    Barselona wanajitahd sana

    Jibu

    Barca wana juhudi sana

    Jibu

    Ligi bado sana kwn mpnzan wake naye anakuj mbio za swala thnks meridian bet kwa information

    Jibu

    Nadhani Barca wananafasi kubwa sana mbali na upinzani mkubwa kutoka kwa Madrid

    Jibu

    Tupo vizuri

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    big up barcelona

    Jibu

    Pongezi kwao Barcelona

    Jibu

    Safii Barcelona

    Jibu

    Hongera Sana Barcelona habari nzuri

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe