Barcelona Wamgeukia Mo Salah

Klabu ya Barcelona wameanza kuangalia uwezekano wa kumsaajiri mshambuliaji wa klabu ya Liverpool kwenye majira ya kiangazi ili kuweza kuongeza nguvu kwenye klabu hiyo.

Mo Salah miezi ya hivi karibuni amehusishwa zaidi na klabu Paris Saint-Germain na Real Madrid, baada ya kutokea kwa sintofahamu kuhusu mazungumzo ya mkataba mpya ambao klabu ya Liverpool walimuandalia kuukataa.

Barcelona

Mkataba wa sasa wa Salah unaisha majira ya kiangazi 2023, na inatarajiwa kuwa klabu ya Liverpool itamuweka sokoni ikiwa atakaa mkataba mpya kabla ya kuaza kwa msimu mpya ili kuepuka kumpoteza bure.

Sasa tetesi zimeongezeka zaidi zikidai kuwa klabu ya Barcelona wameanza kufanya jitihada za kumshawishi salah kuweza kujiunga na klabu hiyo kwenye majira ya kiangazi.

Baada ya kuwa na mwanzo mbovu klabu ya Barcelona msimu huu unaolekea kuisha, sasa waneanza kupanga mipango ya msimu ujao, na kutaka kufanya uwekezaji mkubwa kwenye usajiri wa wachezaji licha ya kuwa kwenye ukomo wa matumizi ya pesa.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

Acha ujumbe