Kulingana na Jarida la Sport, Klabu ya Barcelona inatamani meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp kukinoa kikosi hicho baada ya kukamilisha mkataba wake pale Anfield.

 

barcelona, Barcelona Wanamtaka Klopp Camp Nou., Meridianbet

Mkataba wa Klopp pale Anfield unakamilika mwaka 2024 na meneja huyo aliweka wazi angependelea kufundisha timu ya taifa baada ya mkataba wake kukamilika.

Klopp anasifika kwa kubadilisha vilabu vilivyokuwa vinacheza katika kiwango cha chini na kucheza katika kiwango cha juu zaidi, zikiwemo, Mainz 05, Borussia Dortmund na Liverpool.

Barcelona kwa sasa inanolewa na mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Ronald Koeman ambaye alichukua mikoba ya Quique Setién aliyetimuliwa baada ya kukubali kipigo cha magoli 8-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa.


MCHONGO WA PESA NA CIRCUS FEVER

Mchongo wa mkwanja mrefu kutoka kasino bora za mtandaoni za Meridianbet. Mchezo wa Circus Fever unakuweka katika nafasi nzuri ya kuwa mshindi. Furahia kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa meridianbettz.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa