Barella Aongeza Mkataba na Inter Milan

Nicolo Barella ameongeza mkataba wa kusalia na Inter Milan mpaka june 2026, Inter wametangaza kuwa Nicolo amesaini ,kataba mpya utakaomuweka kwenye klabu mpaka tarehe  30 june 2026.

Barella alijiunga na Inter Milan mwaka 2019 na imeichezea michezo 102 huku akifunga magoli nane tu.

Nicolo alikuwa ni mmoja wa wachhezaji walikuwepo kwenye kikosi cha Italia kwenye mashindano ya EURO2020 na aliweza kuifungia goli muhimu kwenye hatua ya robo fainali dhidi ya Belgium.

Kulingana na tetesi zilizopo ni kuwa Barella atakuwa anavuna kiasi cha €4.5milioni kwa mwaka huku mshahara wake utakuwa ukiongezeka mpaka kufikia kwa €6milioni kwa msimu, awali alikuwa anavuna €2.5milioni kwa mwaka.


MKWANJA WA KUSHATO NA AURORA BEAST HUNTER!

Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe