Klabu ya Bayern Munich imefanikiwa kutwaa taji lao la 10 mfululizo la Bundesliga zikiwa zimesalia mechi tatu baada ya kuifunga Borussia Dortmund kwa mabao 3-1 katika dimba la Allianz Arena hapo jana.

Ilikuwa ni ushindi wa nane mfululizo wa ligi kwa Bayern Munich dhidi ya Borussia Dortmund, ambao hawajashinda mchezo wowote mjini Munich tangu 2014.

 

bayern, Bayern Atwaa Ubingwa wa 10 wa Bundesliga Mbele ya Dortmund., Meridianbet

Bayern wanakuwa na alama 12 mbele ya Dortmund walio nafasi ya pili, wakiwa wameshinda mataji 31 ya Bundesliga tangu kuanzishwa kwa ligi ya daraja la kwanza mwaka 1963, na mataji 32 ya ligi ya Ujerumani kwa jumla.

Mabao ya kipindi cha kwanza kutoka kwa Serge Gnabry na Robert Lewandowski yaliwaweka wenyeji 2-0 mbele kabla ya Emre Can kufunga kwa mkwaju wa penalti dakika ya 52. Jamal Musiala aliifungia Bayern bao la tatu dakika saba kabla ya mchezo kuisha.

bayern, Bayern Atwaa Ubingwa wa 10 wa Bundesliga Mbele ya Dortmund., Meridianbet

 

Bayern walikuwa na hamu ya kutwaa taji hilo pekee ya msimu huu katika mchezo mkubwa wa ligi mbele ya watu 75,000 walijitokwza kufidia kushindwa kufuzu kwa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Villarreal.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa