Bayern Dhidi ya Union Berlin na Majeruhi Kibao

Vinara wa Ligi Kuu ya Ujerumani, Bayern Munich leo wanashuka dimbani dhidi ya Union Berlin katika mwendelezo wa Ligi hiyo huku wakiwakosa wachezaji wao tisa akiwemo mwamba kinara wa kufumania nyavu, Robert Lewandowski kutokana na kuwa majeruhi.

Bayern
Lewandowski, Costa na Davies

Wachezaji wengine wanaokosekana leo ni Niklas Süle, Leon Goretzka, Lucas Hernández, Marc Roca, Corentin Tolisso, Douglas Costa, Tanguy Nianzou na Alphonso Davies mwenye adhabu ya kadi nyekundu.

Bayern
Niklas Süle, Leon Goretzka, Lucas Hernández

Pamoja na hali hiyo, kocha wa Bayern Hans Flick anasema “Ni lazima tuwafunge Berlin licha ya kwamba haitakuwa rahisi, pointi tatu ni muhimu zaidi kwetu”

Bayern ndiyo vinara wakiwa na pointi 64 baada ya mechi 27 huku Union Berlin wakiwa nafasi ya saba na pointi 39, wakisaka nafasi ya uwakilishi kwenye michuano ya Ulaya.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

CHEZA HAPA

4 Komentara

    Pole yao

    Jibu

    Pole yao

    Jibu

    Polen

    Jibu

    Pole yao kwa majeruhi

    Jibu

Acha ujumbe