Siku ya Leo Christian Benteke amefanikiwa kuongeza mkataba wa kusalia Crystal Palace kwa miaka miwili zaidi. Benteke atasalia Crystal Palace mpaka mwaka 2023 sasa!

Benteke alijiunga na Palace akitokea Liverpool miaka mitano iliyopita, na akiwa Palace msimu huu amefunga magoli 10, na kufikisha magoli 82 katika michezo 255 ya premier League.

Christian Benteke
Christian

Palace bado haijajua nan atakuwa mrithi wa aliyekuwa kocha wao Roy Hodgson ila mweyekiti wa klabu hiyo ameamua kumuongeza mkataba mchezaji huyo kwa kuwa amekuwa sehemu ya muhimu sana ya mafanikio ya klabu hiyo.

Yaliyosemwa na mwenyekiti,

Cristian amekuwa sehemu ya umuhimu sana ya kusaidia Crystal Palace kwa miaka mitano iliyopita na tutaendelea kufanya nae kazi“, alieleza mwenyekiti Steve Parish.

Benteke atawakilisha ubelgiji katika michuano ya EURO 2020 majira haya ya joto na anatarajiwa kuonesha mambo makubwa na kutoa mchango mkubwa akishirikiana na wakali kama Hazard, De Bruyne na Lukaku.

MAANA KAMILI YA USHINDI KATIKA KASINO ZA MERIDIANBETI NI PAMOJA NA MCHEZO WA PANDA PANDA.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Panda Panda na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

Gomes, Gomes : Sitafanya Usajili wa Kutisha., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa