Benzema Afunga Hat-trick kwa Al-Ittihad

Karim Benzema amefunga hat-trick yake ya kwanza ya Saudi Pro League na kupata ushindi uliohitajika sana wa 4-2 kwa Al-Ittihad dhidi ya Abha.

 

Benzema Afunga Hat-trick kwa Al-Ittihad
 

Kikosi cha Mfaransa huyo hakikuwa kimeshinda katika mechi tano zilizopita za nyumbani lakini kilifanya kazi hiyo kwa mtindo bora hapo jana jioni huku Igor Coronado pia akiwa kwenye kiwango.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Benzema sasa amefunga mabao nane na kutoa assist mabao manne katika mechi 11 za ligi msimu huu.

Benzema Afunga Hat-trick kwa Al-Ittihad

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Kwingineko, Aleksandar Mitrovic alilenga shabaha kwa mara nyingine huku viongozi Al-Hilal wakidumisha mwanzo wao wa kampeni bila kupoteza kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Al-Taawoun.

Acha ujumbe