Wachezaji wa Real Madrid, Karim Benzema na dani Carvajal wataukosa mchezo dhidi ya Alaves katika ligi kuu ya Uhispania siku ya leo.

Kikosi cha Real Madrid leo asubuhi kimefanya mazoezi katika viwanja vyao vya Valdebebas pasipo nyota hao.

 

benzema, Benzema, Carvajal Kuwakosa Alaves., Meridianbet

Karim Benzema ambaye huenda akaukosa mtanange dhidi ya Alaves hapo baadae leo Jumamosi na huenda akarejea katika mchezo dhidi ya Shakhtar Donestsk huko Ukraine hapo Jumanne.

Lakini pia Dani Carvajal anatazamiwa kutokuwepo kikosini baada ya kukosekana mazoezini na tayari klabu imethibitisha kuwa ana jeraha kwenye paja lake la kulia.

Hali kadhalika pia Sergio Ramos bado anaendelea na mazoezi binafsi tofauti na kikosi baada ya jeraha alilolipata katika mchezo wa kimataifa huku pia Fede Valverde na Alvaro Odriozola wakikosekana.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

17 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa