Bournemouth na Corona

Mchezaji wa Bournemouth ambaye hakutajwa jina ni mmoja ya wawili waliogundulika na Virusi vya Corona katika matokeo ya vipimo vya hivi karibuni na kufikia jumla ya wagonjwa nane waliogundulika katika Premier League.

The Cherries imesema kuwa utambulisho wa mchezaji umefichwa – watajitenga kwa siku saba.

Mchezaji mwingine wa klabu tofauti ambayo haijatajwa nae aligundulika na Virusi vya Corona.

Vipomo vilifanyika Jumanne, Alhamisi, Ijumaa ya wiki iliyopita na wachezaji 996 na watumishi wamepimwa katika Premier League.

“Kwa kufuata sheria za kurejea kwa Premier League mazoezini ili kuwa katika mazingira salama kwa wachezaji na wafanyakazi wengine, ambao bado wataendelea kupimwa Corona mara mbili kwa wiki,” taarifa Bournemouth ilisema.

34 Komentara

    Hii Corona ni balaa #Meridianbettz

    Jibu

    Pole sana.

    Jibu

    hii hatari aiseee

    Jibu

    dah corona ni nouma

    Jibu

    Corona inatisha

    Jibu

    So sad

    Jibu

    Ni habar mbaya kwa wapenz na mashabik Ila mungu atawasaidia thnks meridian bet kwa update

    Jibu

    DAaah! Corona hatari sana

    Jibu

    Wajipange Sasa kuikabili

    Jibu

    Daah hii hatari sana

    Jibu

    Hili janga ni hatari

    Jibu

    Pole sana kaka

    Jibu

    Pole sana kwao maana janga la corona bado ipo

    Jibu

    jamani corona ni baraa#meridianbettz

    Jibu

    Daah hii atarii sana

    Jibu

    Corona inatisha sana

    Jibu

    Kitakwimu anauwezekano mkubwa sana wa kupona kuliko kupoteza Uhai ….inshaallah league itarudi soon

    Jibu

    Safi.kwa habari za michezo#meridianttz

    Jibu

    mmmh inaogopeshaa

    Jibu

    Dah pole sana

    Jibu

    Habar ya kusikitisha sana

    Jibu

    Jamani hii corona siishe tuu.

    Jibu

    Daah..corona janga la taifa

    Jibu

    Corona Sio poa kabisa

    Jibu

    Corona ishakuwa htr

    Jibu

    Corona iishe tu

    Jibu

    Corona ni ugonjwa hatari umeharibu Sana mipango ya watu

    Jibu

    corona inaboa sana

    Jibu

    Daaah..!wachezaji wanaali ngumu sana..!wanajiona kama chambo vile

    Jibu

    Dah jamn sio poa hil janga n balaa

    Jibu

    Corona Sasa utuache umetusulubu Sana Kama yesu msarabani

    Jibu

    Hii Atari aisee

    Jibu

    corona ni shida

    Jibu

    Ni tabu

    Jibu

Acha ujumbe