Breaking News:
Kocha wa PSG, Thomas tuchel ametimuliwa na Paris Saint Germain mapema muda huu wameripoti Sky Germany.
PSG kwa sasa wanashika nafasi ya tatu katika Ligi ya Ufaransa (Ligue 1), alama moja nyuma ya viongozi Lyon, wakiwa wamepoteza mechi 4 kati ya 17 katika Ligi.

Habari za chinichini zinasema meneja wa zamani wa Tottenham, Mauricio Pochettino anatarajiwa kuchukua nafasi ya Tuchel pale PSG.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???




Ernest Kimeru
Man U sasa mjioange kutafuta Kocha maana Pochettino huenda akachukuliwa na PSG
farida ahmad
Duh kambi popote
Saupha mohamed
Dhuuu hii atalii
Adelta
Sio poa kabisaa ila kwa sisi wabongo kumbiga teke chura nikumwongezea hatua
Rahmal
Dar majanga kweli
Shakila mrope
Sio poa kabisa duh
Caroline
Mhhh makubwa
Mwanahamisi
Duuh hatari
neema hassan
Duuh hatarii
Lydia Emmanuel Magoti
Duuu hatari sana
Issa
Hana jipya
Hopemwaikuka
Kumekucha
Tatu
Kambi popote
Angelina
Duuh ila makocha wanatabu
warda
Jamani mbona wamemtimua halaka hivi